Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 725
- 1,378
Mechi mkononi zinadondoka kiuwepesi sanaKuwa na points mkononi ni bora zaidi kuliko kuwa na mechi mkononi.
Mechi mkononi zinadondoka kiuwepesi sanaKuwa na points mkononi ni bora zaidi kuliko kuwa na mechi mkononi.
Antony anatakiwa aanze benchi kumpisha pellistriMkuu bila casemiro tutatoboa??
Watu hawamuamini Antony mm naona anamchangobmkubwa sana.
Tatizo beki kulia hatuna
Mechi nne ambazo hatuna casemiro bora Erickson aje kwa kweli sisi ssio wa kugombea top four. Sisi msimu huu ni wa kuingia tena wa pili au tatu.Christian Eriksen karibu anapona.
GGMUManchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha [emoji847][emoji847]
Prediction
Manchester United 3 vs Fulham 1
Time
1.30
Stadium
Old Trafford
GGMU [emoji83][emoji83][emoji83]View attachment 2557626
Cheki zumbukuku hiliFulham tuna jambo letu leo
Nipigieni nyumbu mpka wamkumbuke CR7
Kuendelea kupata vichekesho Kama hivi bonyeza reli Kisha 9Fulham tuna jambo letu leo
Nipigieni nyumbu mpka wamkumbuke CR7
Kikosi sio unaona venye sub aina watu kabisa lazima Sancho aanze tu.Mbona Sancho anatuangusha sana na bado anamng'ang'ania?
Martial atimuliwe itakapifika mwezi wa sita.Kikosi sio unaona venye sub aina watu kabisa lazima Sancho aanze tu.
Fulham akishindwa kushinda kipindi Cha kwanza itakula kwake.Na leo tutakimbizwaaaaaaa. Hayupo Fred wala Casemiro.