Refer World cup, Suarez VS Ghana.Willian hakukuwa na haja ya red card, ila yule mwingine kiherehere chale mwenyewe
Haka kajamaa kawapi!!! Aisee ni-PM tuweke milioni kwenye betting tule hela nzuri.Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Manchester United 3 vs Fulham 1
Time
1.30
Stadium
Old Trafford
GGMUView attachment 2557626
We mjinga verifaidi yuza ongelea na Match PlayedTukirudi kwenye EPL kidogo
Unaweza kuona kwenye table hapo kuna title contender mwenye GD ya 6 akiwa nyuma kwa points 19 dhidi ya top four contender mwenye GD ya 40
Tutaelewana kidogo kidogo View attachment 2558385
Hao jamaa ni Timu mbili zilizokamilika, mbaya sana unacheza dhidi ya Timu mbili. Kuna Brighton na kuna Hove Albion.






😀Halina ubishi hiloHuyo ameshindikana
Sasa wewe jamaa! Msimu huu Rashford ana goals 27 na assists 7Tunakumbushana bado Goli moya tuu Martinelli amfikie mchezaji Bora wa mwaka pale Matofali ya kuchomaView attachment 2558598
Sasa wewe jamaa! Msimu huu Rashford ana goals 27 na assists 7
Wakati Martinelli ana goals 13 na assists 3. Acha kufananisha msitu na kichakaa!





Tumewazidi kwenye kuokota mipira wavuni! Wao wameokota mara 3 sisi mara 1, over!!!Kwahiyo manyumbu, Fulham kimbinu mmewazidi wapi Leo??