Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,784
- 3,205
Shikamooo nzi wa msalani
Yani hata mm nisijie jua mpira nisingefanya sub ya kuwaingiza Wellback na Chicharito
Kufukuza kocha ni msamiati ambao haupo OT....pale Chelskis ndipo una umaarufu....
timu imekufa kiungo na kaumia beki anaenda kuingiza forward wakati fletcher yupo nje kwanza nashangaa kwanini kagawa hakuwepo sub??? ,mi nahisi huyu mzee uingereza unamponza.hana lolote
Kufukuza kocha ni msamiati ambao haupo OT....pale Chelskis ndipo una umaarufu....
Mtaalamu Mata hajacheza leo?
Wanaosema Mata mbona hajafanya kitu, nahisi walikuwa hawaangalii gemu...Mata ndiye MOTM kwa United leo....kila mpira ulikuwa unapelekwa kwake....kuna chances nyingi alipewa Welbeck, lakini alifanya madudu....Cleverly alipewa pasi dakika za majeruhi, akabutua...
Ingawa, ni kweli kuumia kwa Evans na Jones kulivuruga timu...na DM kumuingiza Welbeck kama mbadala wa Jones ilikuwa ni kosa kubwa mno...pale angeingia Darren....ili Darren angeenda pale CB, na Carrick angebaki CM, ili Rooney awe mbele....Rooney alivyorudi pale CM, basi mambo yote yakafa....
Pamoja na makosa ya leo, bado nina imani kubwa na isiyotetereka kwa DM....bado naamini yeye ni chaguo sahihi kama meneja wa United....ataweka mambo sawa tu...ingawa kama mashabiki tutapitia wakati mgumu mno....
Mtaendelea kwenda kuangalia mechi na panadol mfukoni mpaka lini?
Do you realize that is half of team to be sold? That overhaul will take at least 2 seasons.
You can't replace all those players at once and expect to challenge for honors. Look what happened to Tottenham with their overhaul. I know you will say Manchester UTD ain't Tottenham but it a big ask to replace experienced players to newcomers in a single transfer.
Mtaalamu Mata hajacheza leo?
Damn Twitter wanadai Moyes ana mechi kma 4 kuokoa kibarua chake. Inaaminika La Family de Glazers wamempa hadi CL game akishindwa kuingia robo fainali ndo mwisho wake
Wanaosema Mata mbona hajafanya kitu, nahisi walikuwa hawaangalii gemu...Mata ndiye MOTM kwa United leo....kila mpira ulikuwa unapelekwa kwake....kuna chances nyingi alipewa Welbeck, lakini alifanya madudu....Cleverly alipewa pasi dakika za majeruhi, akabutua...
Ingawa, ni kweli kuumia kwa Evans na Jones kulivuruga timu...na DM kumuingiza Welbeck kama mbadala wa Jones ilikuwa ni kosa kubwa mno...pale angeingia Darren....ili Darren angeenda pale CB, na Carrick angebaki CM, ili Rooney awe mbele....Rooney alivyorudi pale CM, basi mambo yote yakafa....
Pamoja na makosa ya leo, bado nina imani kubwa na isiyotetereka kwa DM....bado naamini yeye ni chaguo sahihi kama meneja wa United....ataweka mambo sawa tu...ingawa kama mashabiki tutapitia wakati mgumu mno....
If 5 out of 20+ players is half of the team to you, well, I give up.
2 seasons, that is what I said in the post...his 3rd year would be the one to judge him..as he will be having his own 'team' i.e. a team with players signed by him......
I guess you are not a football supporter....look what Chelsks and Shitty did when Maureen and Mancini came respectively, they all brought more than 5 players....and when you say 'experienced players to newcomers', do you mean that if United gets Vidal or Kroos, would they be inexperienced players?
Man u mbona wanachezewa nyuma sana.
Experienced EPL players.. But Chelsea and City didn't overhaul at once... took them two seasons. Ranieri, Sven Eriksson and Hughes made the initial changes then Maureen and Mancini completed. And almost of players you've mentioned have featured in the first 11 matches this season bar Underson and Rio.