D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,636
- 121,032
Moussa Diaby - bayer leverkusen

Title contenders mna GD ya 6
16 points behind 'top four contenders'
Jijiemyu 


Tunaendelea tulipoishiaSancho ni takataka inayoishi
Kama Sancho anaanza halafu Facundo hana namba, inashangaza sana. Sancho anasikitisha sana, hadi sasa sitamani kusikia tunasajili mchezaji wa Kiingereza.
Mmeshinda ngapi Mzee wa dishiO.T siku hzi panaheshima yake mpinzani lzm alijue hilo
Hii game tunashinda hamtoamini

Huyo refa huwa ana maamuzi ya ovyo sana dhidi ya United sio game ya Jana pekeeHuyu refa wa leo atakuwa haipendi man united
Jamaa anatuksti sana aiseeIvi casemiro na red card walishindwa kumaliza ugomvi wao?

Mechi nne atakuwa suspendedIvi casemiro na red card walishindwa kumaliza ugomvi wao?
Kuna antony taylor na andre mariner.Huyo refa huwa ana maamuzi ya ovyo sana dhidi ya United sio game ya Jana pekee
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app


Ndoto za mchana hizo united Top four anakaa acha kujitoa ufahamuKwa mechi 4 zijazo mnakutana na kina Brighton , Brentford , Everton yenye viungo Gueye ,Onana na Iwobi Vs Sabiza na Fred
Kuna hatari Top 4 mkaiaga kiulaini
Brighton Brentford hawa wanajua kupress wanajua kuadhibu wakikukuta janja janja nyingi
Kwaiyo hapo ndo umefanya analysis yani?Kwa mechi 4 zijazo mnakutana na kina Brighton , Brentford , Everton yenye viungo Gueye ,Onana na Iwobi Vs Sabiza na Fred
Kuna hatari Top 4 mkaiaga kiulaini
Brighton Brentford hawa wanajua kupress wanajua kuadhibu wakikukuta janja janja nyingi
Ndoto za mchana hizo united Top four anakaa acha kujitoa ufahamu
Tuache ushabiki jaman ,kwasasa wanaopush Top 4 ni wengi ,Kuna Spurs , Newcastle , Liverpool anafatia, Brighton na fulham wanavizia Europa LeagueKwaiyo hapo ndo umefanya analysis yani?