Sheriff Rango
Member
- Jul 29, 2018
- 72
- 124
dah game ishakua ngumu hii ..
Kocha kaharibu sana hii mechi. Kikosi hovyo kabisa
kwa hali hii ushindi ishakua tia maji tia maji mpaka mda huu ..Hapa toa wegohost na sancho aingie fred na scot
Ymeaharibika tayariTunapelekwa sana, kati hakuna mtu kabisa, TOA SANCHO WEKA FRED kabla mambo hayajaharibika.
Kumbe na wewe unaona, afu refa hataki kwenda kuangali VAR
Huyu mchezaji si amezuia kabisa mpira kwa mkono usimfikie Weghorst?
Refa hawapendi man u
Huyu mchezaji si amezuia kabisa mpira kwa mkono usimfikie Weghorst?