Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tuache ushabiki jaman ,kwasasa wanaopush Top 4 ni wengi ,Kuna Spurs , Newcastle , Liverpool anafatia, Brighton na fulham wanavizia Europa League

Je huoni hapo mechi 2 zinatosha kumpeleka manjesta nafasi hata ya 6?

Hujacheza na Newcastle ,Spurs , Brighton, fulham , Brentford ,hizi ni timu korofi EPL na Zina uwezo wqkubeba points 3 au draw kwa manjesta
Umeanza vizuri nikaanza kukuulewa, kwenye paragraph ya mwisho binafsi naona ndo ukaharibu kabisa kwa chuki yako uliyonayo kwa manchester, simply tu nikukumbushe, mchezo wa mpira wa miguu ni mchezo wa wazi na kila mtu anaona hizo timu ulizozitaja ni timi kama timu zingine zinaweza kufungwa, kushinda au kudraw hivyo muda utaongea na nikiwa kama mpenzi wa united ujio wa ETH ndani ya muda mfupi umeleta kitu cha tofauti na sina shaka na hilo timu inazidi kuimarika siku hadi siku, hizo timu sumbufu zipogo miaka yote hivyo hivyo
 
Tatizo umetanguliza mapenzi mbele ,je ni uongo kuwa fulham , Brentford, Brighton, Newcastle haziwezi kubeba points 3 kwa manjesta?

Tena hizo timu zimemfunga manjesta mabao mengi tu karibuni hapa

Ni timu korofi EPL , zina press na zinafunga vzr tu , mfano mechi ya Jana mtoe Soton muweke Brentford, au Brighton chance ya man u kushinda ni ndogo

Hizo timu hazina tofauti na Leeds utd ,kushinda kwa manjesta hii ni 50/50
 
Baada ya kushinda qarabao Akina Rashida na antonia pamoja na sachonka wanaona washamaliza kila kitu 😂😂😂
 
Tuna tabia ya kuanza mechi kivivu, ugonjwa huu unaelekea kukosa dawa.

Tumekuwa tukiinua nguvu zetu kila ifikapo kipindi cha pili.

Ni kama vile wachezaji hawana uwezo wa kucheza kwa kiwango bora kwa dakika 90.
Sijui tatizo kuu liko wapi.
Mbwa ameshazeeka. Huwezi mfundisha mbinu mpya.

Ten Hag inabidi ajue kubadilisha mentality ya wachezaji aliowakuta ni ngumu mno.

Akipata fungu zuri, inabidi anunue wachezaji wanaoendana na mfumo wake na auze rundo la wafanyakazi hewa pale Carrington.

Misimu mitatu ijayo anatakiwa awe amesafisha 80% ya wachezaji aliowakuta.

Aje na wake wenye mentality anayoitaka.
 
Lile kundi lililojizolea umaarufu mkubwa sana miaka ya nyuma kwa kulitawala jukwaa la midfields ulimwenguni linatarajia kurudi tena kwa kishindo kupitia album yao mpya inayokwenda kwa jina la this is our time.

wawili hao wanafananishwa na kundi lile la wanasiasa wawili machachari waliozitawala siasa za nchi inayokwenda kwa jina la mamba mvivu kwa takribani miaka 20, hao mabwana wakaitwa boys 2 men, sasa wao wakaitwa McFred.

Taarifa nilizonazo mpaka muda huu album yao itaachiwa rasmi siku ya jumapili ya wiki hii ila kama kutanyesha mvua ya sabitzer basi album hiyo itawekwa pending mpaka mvua itakapokwisha.

Ni mimi reporter wenu radio ya mbao.

1678735055491.png
 
Tatizo umetanguliza mapenzi mbele ,je ni uongo kuwa fulham , Brentford, Brighton, Newcastle haziwezi kubeba points 3 kwa manjesta?

Tena hizo timu zimemfunga manjesta mabao mengi tu karibuni hapa

Ni timu korofi EPL , zina press na zinafunga vzr tu , mfano mechi ya Jana mtoe Soton muweke Brentford, au Brighton chance ya man u kushinda ni ndogo

Hizo timu hazina tofauti na Leeds utd ,kushinda kwa manjesta hii ni 50/50
Hapo "mtoe Soton muweke Brentford, au Brighton"
Inaonesha hujui MPIRA , ingekuwa hvyo matokeo yangekuwa yanatabirika kirahisi...

Mpira ni km vita..... Na vita ni mbinu
Hubadilika kulingana na Aina ya mpinzani unaekabiliana nae...
 
Nazungumzia levels ,huwez kumpa chance kubwa ya kushinda Soton vs manjesta sawa na Brighton au Brentford vs manjesta

Ndio maana Soton yupo mkian ,hao wengine wamekuwa hata 4-0 wanakupiga
 
There is a serious possibility that United will offer Facundo Pellistri a new contract before sending him out on loan. The decision will be made in the coming weeks. Erik ten Hag is satisfied with him.

Hizi taarifa za mkopo zinanikera, kama vipi wamwache dogo aende zake kama hawataki kumtumia.

#FabrizioRomano
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230314_095424_480.jpg
 
Alejandro Garnacho’s injury is worse than expected. He could miss out on Argentina’s upcoming games.

#Gastonedul
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230314_095407_050.jpg
 
#MUFC are planning to let Facundo Pellistri head out on loan next season.

[Samuel Luckhurst]
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230313_215623_351.jpg
 
Back
Top Bottom