Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,492
- 235,181
Hata mngepumzika mwaka mzimaWalikuwa na accuracy ya 87.5% kwenye mashuti yao langoni mwetu.
Lakini unaisemea vipi hali ya uchovu wa mechi nyingi mfululizo pamoja na mabadiliko ya kikosi cha kwanza mechi hadi mechi kwenye kile kipigo?
Bado tungewapiga nje ndani.
Karibu seven up Mkuu.