verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,150
- 6,256
Refa ni Gooner uyo
Refa ni Gooner uyo
Tuna tabia ya kuanza mechi kivivu, ugonjwa huu unaelekea kukosa dawa.Kwa leo nimeogopa sana uchezaji wetu umenikumbusha manchester ya Ole wakati huo;
Labda huwa tunawaza kutengeneza headlines kwa Fergie time au come back kingsTuna tabia ya kuanza mechi kivivu, ugonjwa huu unaelekea kukosa dawa.
Tumekuwa tukiinua nguvu zetu kila ifikapo kipindi cha pili.
Ni kama vile wachezaji hawana uwezo wa kucheza kwa kiwango bora kwa dakika 90.
Sijui tatizo kuu liko wapi.
Kamanda muandiko wako haujawahi kunipoteza.Labda huwa tunawaza kutengeneza headlines kwa Fergie time au come back kings
Rule bender = fuentte
Potter ni kocha mzuri anayehitaji muda potter kaja chelsea kaikuta tuna injuries ya wachezaji 8 Ngolo Kante, Kovacic Fofana, James,Chillwel Mendy RLC na Pulisic hajakaa Sana kuletewa wachezaji wapya kwenye dirisha dogo Enzo Hernandez, Mudryk, Madueke, Bachishile, dafro Fofana na jao felix kwa namna hiyo kwanini asipate matokeo mabaya? Umeona sasa hivi umeanza kupata kikosi chake Cha kwanza na unaona kabisa team imeimarika kulinganisha na Mwanzo tumeshinda mechi Tatu mfululizo Tena ngumu na tumecheza vizuri Sana. Usimuunderstimate Potter mkuuPengine msimu ujao munaweza kuwa na timu nzuri ikiwa mutapata mwalimu sahihi.
Nafikiria kuwa mshabiki wa NAPOLI.
DAEMUSHIN = M Z A N Z I B A R I
Kuna siku unafanyiwa suprise mfano ile ya liverpool, unategemea second half kurudisha energy ya upambanaji hatimaye unaongezwa goli mbili za haraka za kukutoa mchezoni.Labda huwa tunawaza kutengeneza headlines kwa Fergie time au come back kings
Binafsi namkubali Potter,ni suala la muda tu chemistry ikikaa vema mtarudi juu.Potter ni kocha mzuri anayehitaji muda potter kaja chelsea kaikuta tuna injuries ya wachezaji 8 Ngolo Kante, Kovacic Fofana, James,Chillwel Mendy RLC na Pulisic hajakaa Sana kuletewa wachezaji wapya kwenye dirisha dogo Enzo Hernandez, Mudryk, Madueke, Bachishile, dafro Fofana na jao felix kwa namna hiyo kwanini asipate matokeo mabaya? Umeona sasa hivi umeanza kupata kikosi chake Cha kwanza na unaona kabisa team imeimarika kulinganisha na Mwanzo tumeshinda mechi Tatu mfululizo Tena ngumu na tumecheza vizuri Sana. Usimuunderstimate Potter mkuu
potter si mbaya ila sitaki afanikiwe.Binafsi namkubali Potter,ni suala la muda tu chemistry ikikaa vema mtarudi juu.
Hata MZANZIBARI kipindi cha nyuma alikuwa shabiki wake kabla hajatoka Brighton.
Ile siku ya 7UP uliona kabisa tunavizia jamaa wapunguze tempo ya mchezo kwa kutuhofi form yetu,bahati miungu ya mpira haikuwa upande wetu.Kuna siku unafanyiwa suprise mfano ile ya liverpool, unategemea second half kurudisha energy ya upambanaji hatimaye unaongezwa goli mbili za haraka za kukutoa mchezoni.
Mechi ya leicester
Mechi ya west ham - FA
kipindi cha kwanza tulikuwa ovyo, tukaokolewa na ubutu wa wapinzani wetu
Wajinga walipiga shuti saba zote nyavuni.Ile siku ya 7UP uliona kabisa tunavizia jamaa wapunguze tempo ya mchezo kwa kutuhofi form yetu,bahati miungu ya mpira haikuwa upande wetu.
Walikuwa na accuracy ya 87.5% kwenye mashuti yao langoni mwetu.Wajinga walipiga shuti saba zote nyavuni.
Bado hatuna uwezo wa kwenda nguvu kwa nguvu dhidi ya liverpool kimpira,Lakini unaisemea vipi hali ya uchovu wa mechi nyingi mfululizo pamoja na mabadiliko ya kikosi cha kwanza mechi hadi mechi kwenye kile kipigo?
Huo sasa ni uchawi na wangapotter si mbaya ila sitaki afanikiwe.
#roho mbaya
Kama kawaida yetu huwa tunatengeneza nafasi 5 tunafunga 1 au 2 halafu hatuangalii nyuma. Siku ile sio kwamba Liverpool walitumeza sana ila tulikosa magoli mengi ya wazi hadi pale walipopata mwanya wa kutuadhibu na kututoa mchezoni. Kama sio suala la uzalendo wa Kiingereza,Rashford hafit kwenye mfumo wa 10hag ila muda ni mwalimu mzuri.Bado hatuna uwezo wa kwenda nguvu kwa nguvu dhidi ya liverpool kimpira,
hivyo hatukuadhibiwa kwa sababu ya uchovu siku ile bali liverpool waliamua kupasha kiporo chao cha ubora japo kwa asilimia 60, walikimbia zaidi yetu, walifika kwenye eneo la mpira zaidi yetu, waliharibu nguvu yetu ya kushoto (martinez amekuwa injini yetu ya kusambaza mipira)
Kuna makosa mengi sana walifanya liverpool lakini hatukuwa wakatili.
Yule bwana mdogo alipaswa awe namba 10 kuliko kuwa winga wa kulia.Ile kazi ya kukaba anayoifanya Anthony haiwezi kufanywa na Bisaka halafu Pellistri akafanya kazi ya kusukuma mipira kwa Ghost Letu pale mbele?