Teh teh tehWewe utakuwa na ghubu tu na mashabiki wa Arsenal
Upo sahihi chief il inabd tutulize akilWaingereza wametupiga tena bakora ya chuma kwa usajili wa jadon sancho.
Potential ipo lakini dah!
Anthony tumeadhibiwa kwa ujinga wa mabosi wetu, tumekwenda kuwavamia Ajax muda ambao wameshapoteza wachezaji wao muhimu watano huku tukifahamu fika sisi ni kichwa cha mwendawazimu kwenye ishu za usajili.
Timing, timing

Anthony tuliwaambia Sana humu kuwa mmepigwa awali mkabisha SanaUmeninukuu vibaya, nimezungumzia tabia zenu zenye ufanano.
Kuhusu Thamani ya anthony imeshajadiliwa tokea mwezi wa 8 humu ndani, unachofanya wewe ni kelele za kasuku


Nisaidie takwimu za tomiyasu msimu huu kwa mechi alizoanza.Tomiyasu ambaye Arsenal anacheza wiki kila wiki LB, RB , unamfananisha na malacia?
Mm ninachojua mashabiki wa manjesta na Arsenal ndio wenye fujo toka nakua najua hivoTeh teh teh
Kwa nini niwe gubu bwana hamis,
Nilikuwa na rafiki yangu kwa sasa yupo huko tanganyika anaitwa msellem.
Alikuwa anashabikia arsenal, sauti yake ilikuwa inatawala kibanda umiza kwa fujo zake.
Nikiziangalia fujo zako zinanikumbusha mbali sana
Kama ni potential Basi sawa ,ila malacia najua alisajiliwa kutokana na Shaw kuonekana hafai ,lakin mwisho wa siku anasubiri had aumieNisaidie takwimu za tomiyasu msimu huu kwa mechi alizoanza.
Hoja yangu ilikuwa kwenye potential ya mchezaji.
Hayo mambo ya kuwa na uhakika wa kuanza kikosi cha kwanza nayasikia kutoka kwako.
Huyu refa anaichukia sana UnitedHuyu refa na yeye mbona kama anachuki dhidi ya man u!?
Hivi seriously foul huwa ni Ban ya mechi 3 au 4?Ten Hag on Casemiro’s red card:
“What I think is the inconsistency, players don't know any more what the policy is.”
Nimeacha kuishabikia manchester united.
12/03/2023
Yes wanasema sheria ukipata 2 direct red cards within a season.........4 matches banHivi seriously foul huwa ni Ban ya mechi 3 au 4?
Mbona naona sehemu Casemiro atakosa mechi 4 ,wamebadili sheria ya seriously faul?
Huyo ni shabiki wa miaka na miaka wa man u humu jamviniKwani ulishawahi kuwa shabiki wa Man U
Kumbe,hapo nimeelewa ,atakuta ligi ipo mwishonYes wanasema sheria ukipata 2 direct red cards within a season.........4 matches ban
Njoo chelsea unenepe mkorea mweusiNimeacha kuishabikia manchester united.
12/03/2023

Pengine msimu ujao munaweza kuwa na timu nzuri ikiwa mutapata mwalimu sahihi.Njoo chelsea unenepe mkorea mweusi