Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii gemu tukifungwa, kwa mara ya kwanza nitamlaumu DM kw kupanga kikosi cha ajabu na kufanya subs za ajabu, baada ya Evans na Jones kuumia....

Leo kocha nambebesha lawama zote kwa mara ya kwanza
 
Mara ya mwisho stoke city kuifunga man u ilikuwa boxing day 1984,thanks moyes kwa haya unayotufanyia ila usijali u have fool support of top mangement and ferguson,
 
Hahahaha Another record has been broken. Mata, Rooney, RVP all started and still lose to Stoke. I bet the next excuse will be Januzaj didn't play
 
Ngoja nitoke kwenye huu uzi, yaani mechi inaendelea lakini hakuna updates zozote za matokeo. Mashabiki wa Man u mna matatizo sana.
 
Mara ya mwisho stoke city kuifunga man u ilikuwa boxing day 1984,thanks moyes kwa haya unayotufanyia ila usijali u have fool support of top mangement and ferguson,

yaani anavunja rekodi.....na kuweka rekodi mpya....duuuhh!
 
Hii game iliharibika baada ya kuumia kwa Evans na Jones kipindi cha kwanza
 
Yani hata mm nisijie jua mpira nisingefanya sub ya kuwaingiza Wellback na Chicharito
 
Ela ya Mata bora ingekuja Tanzania kusaidia mayatima na kuongeza dawa za hospital...kuna tatizo kubwa sana kwa wachezaji...No good display et all
 
A lot of dead woods need to be cleared in the summer..... As a human being, I feel sorry for DM....
 
Back
Top Bottom