Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii gemu tukifungwa, kwa mara ya kwanza nitamlaumu DM kw kupanga kikosi cha ajabu na kufanya subs za ajabu, baada ya Evans na Jones kuumia....
 
Stoke wameshaanza kulinda goli... Kwa mtindo huu wanaweza kupoteza points
 
wachezaji wa ManU wanacheza bila juhudi kabisa......yaani wanacheza utafikiri wana urafiki na mpira...na kwamba mpira utawafuata.....hakuna spirit ile ya kutafuta mpira kwa juhudi na kuumiliki ipasavyo........na kuepuka vikosa vidogovidogo vya kuachi achia tu mijamaa inasepa.......
 
Ndiyo maana alikuwa anamtaka Fabio wa Real Madrid....

Ni kweli, DM bado hajaielewa vizuri United, ndiyo maana bodi ikamwambia mwaka huu aangalie weakest links kwenye timu, kisha aseme anataka wachezaji wapi, na summer anajenga timu yake.....

hivi unahitajo degree kwani ili kujua matatizo ya man utd mpira sio mchezo wa karata kwamba unaficha mwenzako haoni una card gani mpira unachezwa uwaanjani kila mtu anaona,mtu yeyote mwenye kuufuatilia mpira anaelewa mapungufu ya man utd,hata ww naamini unajua wapi mapungufu yalipo so hiyo sio sababu ya msingi sababu ya msingi kwamba the choosen one sio kocha sahihi either we want it or nt.
 
Hii gemu tukifungwa, kwa mara ya kwanza nitamlaumu DM kw kupanga kikosi cha ajabu na kufanya subs za ajabu, baada ya Evans na Jones kuumia....

nashkuru sana kwa kuliona hilo maana ulibaki ww tu ndo ulikuwa unamtetea lakini huyu jamaa sio mara yake ya kwanza kufanya sub za kiboya kama hizi,so dont be suprised.
 
Moyes is few minutes away from breaking another United record this season. Playing Rooney, RVP and still losing, is it going to happen?
 
wachezaji wa ManU wanacheza bila juhudi kabisa......yaani wanacheza utafikiri wana urafiki na mpira...na kwamba mpira utawafuata.....hakuna spirit ile ya kutafuta mpira kwa juhudi na kuumiliki ipasavyo........na kuepuka vikosa vidogovidogo vya kuachi achia tu mijamaa inasepa.......

yaani hamna team chemistry kabisa no ushirikiano kati ya kiungo mido na mbele,mechi ni butua butua tu kama mechi ya chan kati ya congo na libya
 
Hii gemu tukifungwa, kwa mara ya kwanza nitamlaumu DM kw kupanga kikosi cha ajabu na kufanya subs za ajabu, baada ya Evans na Jones kuumia....

Sijawahi kuamini kikosi chcohcote kilichopangwa na DM kuwa ni hatari.....yaani anapanga kikosi hakuna balance kabisa......yaani afadhali hata akicheza Rio kuliko huyu Chris.....ManU Defence na kiungo ni MAJANGA......
 
Moyes is few minutes away from breaking another United record this season. Playing Rooney, RVP and still losing, is it going to happen?

malizia na mata hapo,ila kuna watu wa ajabu wakwambia moyes sio wa kulaumiwa coz wachezaji hawajajituma na waliumia
 
Mataaaaaaaaaa...lol. mlimwona Mourinho chizieee. In as much as I like the guy as a player..he wont do much at Man utd. Your team doesnt have the players good enough to partner him like he had at Chelsea.
 
Huyu DM haiwezi ManU........ni kubwa sana kwake...haiwezi...hawezi kuingia kwenye kaliba ya Managers wa Club kubwa kama ManU, RM, Barca, ManC, etc.......
 
Back
Top Bottom