Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sheikh Jassim Al Thani is still convinced to buy Manchester United. He remains keen on MUFC project to buy out the Glazers and minority shareholders in their entirety 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

Al Thani feels his bid could be the best one with plans to invest on squad, youth system and facilities.

#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |View attachment 2545323
Mwarabu apewe timu faster
 
Rashford ni mchezaji hatari sana ila alikosa consistence nadhani pia ni kutokana na ubovu wa timu misimu kadhaa iliyopita. Akipunguza uchoyo na kaufather atakwenda kuweka historia kubwa kwenye soka.
Rashford angekuwa na shauku ya kupambata kama CR/Cole/Van Persie/Mbape angekuwa hatari mno. Sasa yupo kama Dimitar Berbatov
 
February player of the month!
JamiiForums-1179895451.jpg
 
Rashford angekuwa na shauku ya kupambata kama CR/Cole/Van Persie/Mbape angekuwa hatari mno. Sasa yupo kama Dimitar Berbatov
Nimemmiss sana Dimitar alikuwa bonge la forward umbo,control nk lakini alikuwa Ufather mwingi all in all aliupiga mwingi.Enzi izo una Berbatov ,Tevez ,Ronaldo na Rooney weka mbali na watoto.
 
Nahodha wa Tottenham ya Uingereza Harry Kane, 29, ndiye mshambuliaji mkuu anayelengwa na Manchester United msimu huu wa joto. (Manchester Evening News)
 
Dalot ni uchafu
Hata mimi najua ila sidhani kama ni eneo ambalo lina ulazima sana kubadilisha. Hata mimi natamani "the likes of Hakimi" ila eneo la RB nahisi tunaweza kuanza msimu mpya bila mabadiliko labda kama tutaweza kupata cash ya kutosha kwa kuuza wachezaji kadhaa.

Eneo muhimu la kusajili ni:

1. ST, hapa budget yake ita-range £60m - 100m. Kama tutamsajili Kane, Osimhen siyo chini ya 100m, ni expensive pia uwezo siyo zaidi ya Kane faida yake ni umri tu.

2. CM, hapa budget yake ita-range £70m - 100m. Kama tutamsajili F. de Jong. Bellingham pale ukisogelea Dortmund wanakupiga hata 100m (English tax)

3. CB, hapa budget ita-range £40m - 50m. Kama tutamsajili Min-Jae maana ana release clause ya €45m.

4. GK, hapa budget ita-range £40m - 65m. Kama tutamsajili Diogo Costa, Porto wanataka £60m ila David Raya ni £40m.

So hapo tu siyo chini ya £200 zitahitajika, hivyo eneo kama RB siyo hitaji muhimu sana kwetu kutokana na pesa inayoweza kupatikana kwa usajili.
 
Upewe ulinzi.

Timu akipewa mwarabu tunasajili first eleven nzima😄
 
Back
Top Bottom