Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man utd si walisema juzi ndo wameanza ligi..fukuza kocha huyo nyie vipi
 
huyu ni liability toka msimu huu uanze......DM akitambua hilo ndio mambo yatabadilika

Ndiyo maana alikuwa anamtaka Fabio wa Real Madrid....

Ni kweli, DM bado hajaielewa vizuri United, ndiyo maana bodi ikamwambia mwaka huu aangalie weakest links kwenye timu, kisha aseme anataka wachezaji wapi, na summer anajenga timu yake.....
 
Mwee sijui nin jinatokea!!! Au babu hakulipwa nini??
 
hv liverpool dirisha dogo wamesajili kweli.
sababu nafasi ya nne inatuhusu msimu huu.
msimu ujao ubingwa
pole man mpira hauna adabu
 
Back
Top Bottom