Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

1CBE3585-3496-41C6-86A9-8200AF1EC62E.jpeg
Good ebening🤣🤣🤣🤣
 
Kipigo cha jana kinatosha kutufahamisha kuwa sisi mashabiki wa United hatupaswi kutembelea majukwaa ya timu zingine kuzicheka zinapofungwa ilihali sisi msimu huu ndiyo tuliopokea vipigo vizito vizito kuliko timu zote.

Hakuna timu nyingine epl iliyofungwa goli 17 katika mechi tatu tu.
Tofautisha "kufungwa goli nyingi" na "kufungwa mechi nyingi" DEJAN7
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nyie panya mpoooooooooo?????mmekuwa wapoleee kama mwizi kati kati ya wenye hasira kali..hahahahahahahahahahahah mbaaaavu
 
Hawa Benfica huu mpira wanaocheza walijifunzia wapi?
Hivi karibuni sijaona timu inayocheza mpira mzuri namna hii
Kuliko Arsenal?


Leao said:

"I’ve seen a lot of games this year.

"I like Arsenal, ....they play very well."
 
Ila kuna kitu nyuma ya pazia...kipindi cha mzee ferg sikuwahi kushuhudia maumivu kama haya ni KWA nini Man U imekuwa laini kiasi hiki?
Aisee! Kila nikikaa nafikiria goli saba nahisi kama kuna msiba.
 
Back
Top Bottom