Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,559
- 6,564
Unawatafuta??🤣🤣🤣🤣We waache mwisho wa msimu ndo tutajua nani kubwa jinga.
Kuna watu watamaliza msimu bila kombe na hawataamini, kuna watu hata Europa League hawatashiriki.
Hivi mkuu bruno alifanyaje mbona ameandamwa hivi?Louis Saha on Bruno Fernandes: "I think he wants to win and that's what I see in him. If the players around him are unhappy with his body lanquage and are worried about being criticised by their captain, change jobs.”
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2540694
[emoji23][emoji23][emoji23]dah hii wiki kazi tunayo.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2540680
Na mimi nilitaka kuuliza jamaa kafanya nini?Hivi mkuu bruno alifanyaje mbona ameandamwa hivi?
Wanadai jamaa aliomba sub! Ila kiuhalisia muda ule rashford anatolewa kulikuwa na sintofahamu ya kujiuliza nani anatokaa!?. So, mashabiki wengi wakahisi jamaa aliomba atolewee..Na mimi nilitaka kuuliza jamaa kafanya nini?
Wanadai jamaa aliomba sub! Ila kiuhalisia muda ule rashford anatolewa kulikuwa na sintofahamu ya kujiuliza nani anatokaa!?. So, mashabiki wengi wakahisi jamaa aliomba atolewee..
VP mwarabu mo Salah anaruhusiwa kubid kununua timu maana ..kila mkienda anfield lzm awatawaleMwarabu apewe timu haraka sana....
VP mwarabu mo Salah anaruhusiwa kubid kununua timu maana ..kila mkienda anfield lzm awatawaleMwarabu apewe timu haraka sana....
Kuna Moja Ile kapoteza mpira, alaf kasimama kama kasusa fulanWanadai jamaa aliomba sub! Ila kiuhalisia muda ule rashford anatolewa kulikuwa na sintofahamu ya kujiuliza nani anatokaa!?. So, mashabiki wengi wakahisi jamaa aliomba atolewee..
Mashabiki tuna visa sana, huyo jamaa amecheza kwa muda mrefu sana tangu afike kwenye timu yetu. Pengine ndio mchezaji pekee ukiachana na De gea ambaye kila akihitajika yupo. Amecheza popote kocha anakompanga. Sijui shida ni nini na sisi mashabiki.