Huyu anazingua ila basi.. magoli mengi yametoka kwa pass zake fyongo🤣🤣🤣Many at #MUFC, players included, were irritated by Bruno Fernandes' behaviour on the pitch on Sunday.
#ChrisWheeler
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2540690
Wameanza kuchoka naona maana kubolonga kwao huko asila wanatuletea hapa kama cheltako kubolonga kwote kule ety nao wanapata kiburi Chakuja kutujazia nzi hapa.Naona kidoogo kasi ya mashambulizi imepungua.
We waache mwisho wa msimu ndo tutajua nani kubwa jinga.Wameanza kuchoka naona maana kubolonga kwao huko asila wanatuletea hapa kama cheltako kubolonga kwote kule ety nao wanapata kiburi Chakuja kutujazia nzi hapa.