Mpira wa zamani wa miguvu kulukundu sasa ivi haupo mdau timu nyingi ni laini mno so ukiotewa kula saba kawaida tuIla kuna kitu nyuma ya pazia...kipindi cha mzee ferg sikuwahi kushuhudia maumivu kama haya ni KWA nini Man U imekuwa laini kiasi hiki?
Aisee! Kila nikikaa nafikiria goli saba nahisi kama kuna msiba.
Me naona na Tactical approach ya kocha(10Hag) imechangia sana wao kula 7, kwa sbb huwez sema unaenda kiwanja chenye atmosphere kama Anfield hlf unasema mara ooh wana miguu miwili kama sisi sijui refa ni wa4 mara mpr ni round ule ule.. Izo porojo nilijua anasema tu kwny press kuwapa confidence wachezaj kumbe akaenda kbs sik iyo bila heshima akataka kupishana na liva bila kujua fika wapo kwao kwny Wild atmosphere ambayo team nyng zinakupa ushuhuda ni ngum kudeal nayo.Ila kuna kitu nyuma ya pazia...kipindi cha mzee ferg sikuwahi kushuhudia maumivu kama haya ni KWA nini Man U imekuwa laini kiasi hiki?
Aisee! Kila nikikaa nafikiria goli saba nahisi kama kuna msiba.



Babu angalia ramani zingine.... kwani huna cha kupost kwenye jukwaa lako?Manchester United Ndoo Timu Iliyopigika Vipigo Vikubwa Ndani Ya Miaka 3 Iliyopita
Manjesta 1-6 Tottenham
Manjesta 2-4 Liverpool
Leicester City 4-2 Manjesta
Manjesta 0-5 Liverpool
Watford 4-1 Manjesta
Man City 4-1 Manjesta
Liverpool 4-0 Manjesta
Brighton 4-0 Manjesta
Brentford 4-0 Manjesta
Man City 6-3 Manjesta
Liverpool 7-0 Manjesta
Takwimu Hazidanganyi![]()
Mbebe kwanza uefa ndo mje kupiga kelele hapa timu toka imeanza hata ka ueropa tu aina mpo serious kweli nyie.Munavyokujaga majukwaa ya watu mnaonaga Raha enhee ndio mjifunze Sasa
Mna mdomo Sana
Title contender unapigwa 7![]()
Baada ya kufungwa goli 5-0 dhidi ya Barca,kocha wa wakati huo wa Madrid Jose Mourinho alisimama kwa kujiamini sana mbele ya kamera na vinasa sauti vya wanahabari akisema "ni heri nifungwe goli 5 mara moja kuliko kufungwa goli 1 mara tano". Baada ya hapo jamaa aliitengeneza Madrid yake kiasi kwamba Barca ikawa inapata matokeo ya ushindi kwa nadra sana dhidi ya ile Madrid chuma ya Mou.
We will bounce back!
🤣🤣🤣🤣🤣 Feg gani unaemsemea???Ila kuna kitu nyuma ya pazia...kipindi cha mzee ferg sikuwahi kushuhudia maumivu kama haya ni KWA nini Man U imekuwa laini kiasi hiki?
Aisee! Kila nikikaa nafikiria goli saba nahisi kama kuna msiba.
Jogoo anachinjwa leo. View attachment 2538193
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Alooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jogoo anachinjwa leo. View attachment 2538193
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Watu wachokozi sana