Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapana hatuna shida na utishio WENU

Mna kelele Sana kelele za dharau mlidharau sana mechi Ile kabsa nakwambia hakuna mtu Humu aliogopa Ile mechi, dharau zilikua nyingi Sana aisee which was bad

Yaani dharau unaziona kwa kocha kabisa, siogopi anfield automatically wachezaji nao wakawa na akili kama za kocha

Anfield pa kawaida nyoko nyoko pale Pana majini na hayapendi dharau muulize messi alisema ule uwanja anauogopa Sana na Haupendi

Hata Carlo katupiga juzi alikuja kama underdog katupiga kama mbwa
Kabla ya ule mdinyo WA goli 7 kulikuwa kuna chambuzi zinachekesha za wanaunyumbuni humu...kama Ile ya Wana uwezo WA kuifunga timu yoyote barani ulaya Kwa sasahv
 
Kumbe leo ni tarehe 7
20230307_112036.jpg
 
Fans United wenzangu Wala msiogope hizi kelele tunazopigiwa hapa ni kuonyesha jinsi gani sisi ni tishio uwezi kuta
Liverpool
Arsenal
Chelsea
Man City
hata zifungwe zikaandamwa hivi

Huu ni ujumbe kuwa tumekuwa timu tishio ndo maana ya kelele zote izi tungekuwa wa bovu kama Chelsea hizi kelele zingekuwa azipo kabisa.

Kwaiyo tutembee kifua mbele tuna bonge la kocha tupo bado nafasi nzuri kwenye ligi tupo kwenye kila kombe msimu huu.

kupigwa goal nyingi Amna mwenye ajawai chapwa anaebisha aje hapa na takwimu kuwa ajawai pigwa goli za kutosha.View attachment 2540121
Lete timu kubwa iliyofungwa kwa difference ya goal 7.

Nipo hapa.

Mbona hamtaki kukubali kwamba mmepigwa kipigo cha mbwa koko?
 
Nimekuja kutoa turubahi na kukunja majamvi kuashiria msiba umekwesha.
Tunawashukuru majirani kwa kuja kutughani kama wafiwa, kilicho baki rudini majumbani kwenu na maisha yaendelee.
 
Back
Top Bottom