Oyaa tupo na nanyie week nzima,,, mpka jpil ndio tuna waacha,,, kwanza unapata wap jeuri ya kutufokea[emoji1787][emoji1787]Oya Wakuu mechi imeshaisha jana mmetushambulia vya kutosha tunaomba muache kupost ugoro wenu humu mtupishe tuanze uchambuzi tunaelewana ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata kama ni uchovu ndio mgongwe saba? 7 [emoji23][emoji23]United all the way!
Haya ni matokeo ya mpira tu.
The progress we have made so far is substantial.
Hawa Loserfools kutufunga goli 7, haiondoi maendeleo ya timu.
Na leo inaweza kuwa ni matokeo ya uchovu wa mechi nyingi toka Februari.
We will bounce back stronger.
GGMU
@allypipi [emoji16][emoji16][emoji16] sema mwanangu wanguvu saba nyingi sanaYani kushinda carabao cup tu ndo tutengeneze maadui wengi hivi kweli.
Haki ya mama uniited hatupendwi.View attachment 2539009
Kwani mlilala,kwa furaha gani mliyonayoSisi mashabiki wa man u tunaamka saa ngapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunahitaji ulinzi [emoji1787]
Tukishinda EPL na Champions League msimu ujao itabidi serikali itupe ulinzi.Yani kushinda carabao cup tu ndo tutengeneze maadui wengi hivi kweli.
Haki ya mama uniited hatupendwi.View attachment 2539009
[emoji23][emoji23][emoji23] jinga sana ww et comebackWazee wa kamubaki hehehe amkeni amkeniiii ..mulishindwa vip kupiga zile kamubaki zenu za dkk za mwisho aise?! Bao saba mbona chache tu mungerudisha fasta [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni hatari, hata Everton kwenye derby huwa anajikaza kidogo.9-0 on aggregate last season
8-2 on aggregate this season
Kwa misimu miwili inakuwa jumla 17-2 , kipigo cha mbwa kachoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hadi jpili Kwa firmino wataugua [emoji16][emoji16][emoji16]Gooaaal Gapkooooooo 1
Jumatatu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]