Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Liver walikua na hasira sana na nyie kisa maneno yenu ya porojo.

Ukiwaangalia liver kbs unawaona wanacheza kuwahaibisha.

Kazi mnayo mkikaa vby mnaweza kula goal tena.
Arrogance ndio imewaua manu hii mechi... walikua na dharau sana kuelekea hii mechi, kuanzia mashaiki hadi kocha. Hata ETH alipohojiwa alijibu kwa dharau kuwa pitch ni ile ile, ball size ni ileile, sijui nini na nini... hii ni mechi kubwa kuliko zote england. Alitakiwa kuiheshimu, kaidharau sababu ya kushinda mechi kadhaa mfululizo na kujifanya kwenda toe to toe na timu ambayo iko nyumbani na ni mpinzani wao mkubwa wa jadi ambaye katoka kujeruhiwa mechi zilizopita... ni wazi watakuja na mzuka mkubwa dhidi ya mahasimu wao kurejesha imani kwa mashabiki...
ETH awe na heshima; alikifanya kuingia kichwa kichwa na mancity akala sita, jana kaingia kichwa kichwa kala wiki... asipokua anaheshimu baadhi ya mechi atakua aachezea sana... unaenda heza derby na approach unayoenda kucheza na southampton, lazima ule nyingi...
 
Hua sielewi kocha anapomuweka benchi Wan Bissaka mechi kubwa kama hii. Anyways, hope we'll bounce back
 
Tafsri ya kufungwa ni kufungwa tu iwe saba au laaah! Tumeshudia wiki kadhaa zilizopita Liverpool akistruggle na kufungwa na timu za kawaida tu na hata majuzi alipokea kipigo kutoka kwa Madrid ambaye naye alipokea kipigo kutoka kwa Barca ambaye sisi tulimfunga.
Timu yetu imeonekana kuwa na uchovu mno timu kushindania makombe yote sio mchezo, hata mechi na Westham tuliponea chupu chupu sasa unapiongia kweny mechi ya dabi na timu kama Liver lolote laweza kukutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…