bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 633
- 1,275
"Era come to an end", manina[emoji23]
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu si mchezaji wa man u View attachment 2538662
We unaambiwa mara ya mwisho United kushinda Anfield Rooney alikua mchezajiView attachment 2538585
Plus 7 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni vyema kujifariji.United all the way!
Haya ni matokeo ya mpira tu.
The progress we have made so far is substantial.
Hawa Loserfools kutufunga goli 7, haiondoi maendeleo ya timu.
Na leo inaweza kuwa ni matokeo ya uchovu wa mechi nyingi toka Februari.
We will bounce back stronger.
GGMU
Nimecheka kifali[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2538469
Nimekuja gundua hii team ina haters wengi kinoma, yaani kuna mashabiki wa the blues walikuwa wanaishabikia Liver mpaka nikadhani wao ni wadogo zake Klopp..!!Binadamu ni wanafki sana, kuna Mawatu yalikuwa yameibetia Man Utd kushinda hii mechi, yalivyoingia magoli mawili wakadai hii mechi itafanyika come back na Man Utd itashinda, yalivyoingia magoli matatu wakadai itaisha suluhu, walipofungwa magoli matano wakaigeukia Liverpool wakiishangilia na kuizomea Man Utd wakisema "bado la saba, bado la saba" daaah hatimaye yakawa kweli....[emoji4]
Halafu huu muda nilimuangalia[emoji38]Bwana rashid makameView attachment 2538690
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo alienda kulia dressing room huyoHalafu huu muda nilimuangalia[emoji38]
Sijui ndo anataka kulia.
Kiukweli bila Rashford kutia huruma hivi,tungeongea mengine[emoji23][emoji23][emoji23]