Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hela usiwe nazo
Kiwango usiwe nacho
Na mdomo ukose.

Tuacheni tuchape mdomo bwana ndo raha ya ushabiki shabiki mnakuwa kama hampo vile.
Afu chama kubwa linaloongoza kwa Mashabiki wengi duniani linakosaje Watu waongeaji nakati kwenye msafara wa mamba huwa kenge hawakosekani?

Yani mnafananaje tabia kwa wingi huo wa Mashabiki tele duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…