Khaah ngoma imekuja 3-1 , hakuna cha VAR wala nini.Furgie time.
Yule mwamba aliyetabiri score 3-1 aliyachungulia magoli vizuri, ni vile tu VAR haingii kabisa kwenye bahati nasibu.



Hakuna marudio,hio ilikuwa na extra time na penalties.Afadhali maana tumepunguza mechi ya marudio
Halafu kuna watu humu wanamtusi eti kisa hafungi, kuna mashabiki wa ajabu sana.Umeona kazi ya Wergost??
3
Ni robo fainali hiyo Mzee.Next round
Dogo kawasumbua sana labda kama ulihitaji acheze kama Mess.Skills zake zote hazikufanikiwa. Hapo ameokota dodo tu
Mjiandae ya LiverpoolManchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Manchester United 3 vs West Ham 1
Time
4.45 usikuView attachment 2533766


Huyu ni mganga itakuwaaJamani washabiki wa hili jukwaa, Allipipi ni mchawi![]()
Ndio. Kombe lengine linazidi kusogelewa.Ni robo fainali hiyo Mzee.
Mkuu nimekuwa shabiki wa Manchester United kwa Muda mrefu kwaiyo naijua sana timu yangu hapo no ndumba Wala mimi uchawi siuamini.Allypipi wewe ni jiniView attachment 2534241
Itoshe kusema we ni mchawiManchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Manchester United 3 vs West Ham 1
Time
4.45 usikuView attachment 2533766
