Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

All flights in England have been cancelled due to a sandstorm which came after Man United opened their trophy cabinet to put the League Cup in it.

#Joke

#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230301_010630_277.jpg
 
There is NO guarantee the Glazers will sell Manchester United. They have been underwhelmed by the value of the offers so far and the amount of them.

#JacobsBen
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230301_131256_614.jpg
 
Sio timu zote zinategemea Beck za pembeni kupanda,

Hivi unacheza na wingers kama Mbape,saka Salah,Mahrez beki utapanda muda gani?

Si kujitafutia lawama na mashabiki?
Kazi ya Becki ni kukaba,,hayo mengine ni ziada tu.


Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app

Ukiwa na mawinga kama hao haimaanishi beki usipande. Narudia tena mpira umebadilika sana is why sikuizi hata beki wa kati ukamkuta mbele anashambilia mipira ya kona sometimes.
 
Sio timu zote zinategemea Beck za pembeni kupanda,

Hivi unacheza na wingers kama Mbape,saka Salah,Mahrez beki utapanda muda gani?

Si kujitafutia lawama na mashabiki?
Kazi ya Becki ni kukaba,,hayo mengine ni ziada tu.


Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Sasa Mbona Trent, White, Cancelo, na Hakimi huwa wanapanda.
Mpira wa sasa unategemea FB kupanda.

Ili ku Overlap au Underlap.
 
Yule "mbwiga" anasema hapa kila siku hajui Fred anafanya nini uwanjani sijui atakuwa wapi saa hii. Kwa taarifa yake tu ni kwamba katika wachezaji watatu bora wa Man U Fred ni mmojawapo.View attachment 2533713
Martinez, Casemiro, Bruno na Rashford. Sawa ngoja niishie hapa maana hata eriksen ni majeruhi. Au umemaanisha wachezaji watatu bora wa Man U upande wa kiuongo?.

Ninavyo waelewa wanao msema Fred ni kuhusu kukosa muendelezo wakufanya vizuri mechi na mechi, wewe umeshindwa kuwaelewa unaleta mahaba niue
 
Back
Top Bottom