christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,199
- 5,132
Kuna mtu hapa alisema Garnacho anaruka ruka yaani kuna mashabiki wa ajabu sana.
Kulikuwa na Extra time. Leo mshindi lazimaAfadhali maana tumepunguza mechi ya marudio
Amepoteza nyingi sanaSawa si hatari
Skills zake zote hazikufanikiwa. Hapo ameokota dodo tuKuna mtu hapa alisema Garnacho anaruka ruka yaani kuna mashabiki wa ajabu sana.
3 - 1 tayariFurgie time.
Yule mwamba aliyetabiri score 3-1 aliyachungulia magoli vizuri, ni vile tu VAR haingii kabisa kwenye bahati nasibu.
Khaah ngoma imekuja 3-1 , hakuna cha VAR wala nini.Furgie time.
Yule mwamba aliyetabiri score 3-1 aliyachungulia magoli vizuri, ni vile tu VAR haingii kabisa kwenye bahati nasibu.



Hakuna marudio,hio ilikuwa na extra time na penalties.Afadhali maana tumepunguza mechi ya marudio
Halafu kuna watu humu wanamtusi eti kisa hafungi, kuna mashabiki wa ajabu sana.Umeona kazi ya Wergost??
3
Ni robo fainali hiyo Mzee.Next round
Dogo kawasumbua sana labda kama ulihitaji acheze kama Mess.Skills zake zote hazikufanikiwa. Hapo ameokota dodo tu