Nakubaliana na wewe ila msimu huu mechi ya Barca Camp Nou na nyingine baadhi za mashindano mengine AWB amekuwa akienda sana Kati na kuacha upenyo nafasi kama hakuna beki wa pembeni na yeye ni beki wa kati .Upande wake ukawa unapokea mashambulizi mengi hatari sasa sijui kama ilikuwa mbinu ya kocha au maaamuzi yake binafsi.Tunafanye na huu mjadala kuhusu rightback wetu. Ni dhahiri EtH atasajili beki wa pembeni kulia mwenye ubora zaidI ya waliopo kwa sasa yaan Dalot na AWB. Sote tunajua mapungufu ya Dalot ni ukabaji wakati AWB ni kupandisha timu na kumwaga krosi. Lazima mmoja wao abaki awe kama back up ya atakayesajiliwa.
Ingawa tetesi nyingi zinamhusu AWB kuondoka na Dalot kuboreshewa mkataba wake,mimi mawazo yangu yanaona vinginevqyo baada ya performance ya AWB baada ya WC. Kwamba aondoke Dalot halafu AWB abaki kuwa back up. Hii ni kutokana na ukweli kwamba wakati mwingi tunakutana na winga wasumbufu sana ambao bila ya uwepo wa AWB inakuwa ngumu kuwazuia bila msaada wa midfilder wa kulia,winger wa kulia au beki wa kati kulia kitu ambacho kinaathiri equilibrium ya timu kiumuundo wa ulinzi na ushambuliaji.
Wadau nini maoni yenu kwenye hili.
N.B. Hili jukwaa sasa limekuwa huru kwa ajili ya mashabiki wa man utd pekee baada ya ujio wa EtH na ubora wa timu ukijumlisha na ukweli kwamba man utd ndio timu pekee iko kwenye mashindano yote msimu huu.
Vlahovic hawezi kuwa na msaada epl.Boss ETH nasikia anataka usajili wachezaji wawili muhimu dirisha kubwa, mm naona atuletee vlahovic/ osmhen afu kiungo de jong/ Bellingham
AWB mechi ya Barcelona alikuwa hatoki nafasi hiyo kwa kutojua au kutokana na mapungufu yake ila ilikuwa kutokana mahitaji ya mchezo.Nakubaliana na wewe ila msimu huu mechi ya Barca Camp Nou na nyingine baadhi za mashindano mengine AWB amekuwa akienda sana Kati na kuacha upenyo nafasi kama hakuna beki wa pembeni na yeye ni beki wa kati .Upande wake ukawa unapokea mashambulizi mengi hatari sasa sijui kama ilikuwa mbinu ya kocha au maaamuzi yake binafsi.
Leo mfate uukalieUnyama Sana Mzee Baba, Your Last Prediction Ulitupa Pesa Wazee Wa Kubet![]()


.Mara Maguire ndani ya kikosi,![]()
Leo kaanza mbonaMara Maguire ndani ya kikosi,![]()
Nadhani akatafute changamoto kwingine, amekuwa na mkosi sana hapo Utd.Jadon Sancho is ill
Bado ni kijana mdogo, anaweza kuwashangaza wapinzani wake huko mbeleniNadhani akatafute changamoto kwingine, amekuwa na mkosi sana hapo Utd.
Nilidhani ETH anataka makombe yote haya kumbe nimejidanganya. Kikosi dhaifu sana, wakati wapinzani wameweka full mziki. Sijui kesho tutaficha wapi sura zetu kwa mashabiki wa aseno. View attachment 2534159