Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Msimu huu sasa hata wachezaji wakisema wanaenda vacation kwakweli wanastahili.

Sasa hivi ni mechi baada ya mechi na zote ni mechi muhimu sana lakini kuna watu bado hawataki wachezaji wapumzike.

Mechi ya Liverpool - Anfield naiogopa sana, haijalishi wapo katika kiwango gani. North-West Derby.
 
Our own star boy
Goli tamu na la ushindi dk za majeruhi
Screenshot_2023-03-02-05-27-43-62.jpg
 
Uza Martial, sajili Weghorst (permanently). Nunua striker mwingine.

Mchezaji kama Martial anatuongezea tu quantity. Ukiwa na Weghorst kuna quality anaongeza kwenye timu.

jamaa kakosa zali la magoli tu ila ana mchango sana na kila ushindi wetu
Majukumu aliyopewa Man U sio sawa na aliyopewa alipokuwa timu ya taifa. Kule alikuwa mviziaji, huku amekuwa chance creater.
 
Back
Top Bottom