Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mama yake Rabiot alisababisha tukampata casemiro asingeweka tamaa tungenasa kwa Rabiot Frenk De Jong ni mchezaj mzur ila tusingefika hapa tulipo bila ya kuwa na casemiro bado tunashukuru yule dogo kutupiga chini katuepusha na mabalaa

Leo tunasheherekea ubingwa
nguvu ya Casemiro injini ya timu
 
Na katolewa sasa

Wewe ndio hujui mpira
Atakutukana na wewe, sema jamaa ana mahaba tu na fred tangu muda ndio maana ukimgusa anamtetea kila siku humu.

Wazo la kumtoa fred sio kwamba kacheza vibaya leo ila kwa kasi ya mchezo uwezekano wa kula njano ya pili ulikua mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…