Jaribu kuangalia vizuri sana kila timu tunayorudiana nayo mara ya pili baada ya mchezo wa kwanza. Mf. Leicester, Leeds, Man City, Real Sociedad, Crystal Palace, Nottingham n.k
Nitakua wa mwisho kumkubali huyo mzimu wenu.Weughost ni defensive striker [emoji28][emoji28][emoji28]...
Lkn kiufundi ana sapoti sana mbinu za ETH na toka atue united kachangia pakubwa timu kutulia na kaongeza sana mishemishe kule mbele na kuwapoza wapinzani kutokea kweny beki line. Na pia anatoa nafasi kwa wengne kuonyesha makali km rashford toka jamaa aje ni game moja tu hakufunga. na kiufundi forward line(average) inatakiwe akimbie kwa dakika 60 kati ya 90 za mchezo. Kwa hiyo jamaa iwe mwisho kumkosoa kwa mihemko....na sio ajabu akaongezewa mkataba na sio rahisi kuwekwa nje game ngumu kama arsenal, barcelona, man city, liverpool na wengne sababu ana implements tactics za ETH by that time km ilivo kwa wachezaji wengne km rashford, case, Martinez na wengne.
Hakuna namna, kikubwa ushindi kakaNitakua wa mwisho kumkubali huyo mzimu wenu.
We fikiria tu diana aliuwawa kisa tu ataleta damu ya kiarabu kwenye utamaduni wao ndio sembuse huyu kupewa timuHata mimi naona kama watampiga chini ili kuendeleza utamaduni wa Kiingereza kwa kuhofia Mwarabu kuleta mambo mengi ndani ya klabu..Manchester United ibebeba utamaduni wa Kiingereza.
Liverpool ni uchafu kama mavi ya choo Cha stand ya MagufuliHivi ni liver imechoka au klopp kachoka
Shehe apewe timu tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nawachukia hao mbwa sema hamjui tuJamani Kuna msiba huko anfield [emoji23][emoji23]
Hawa Madrid wapewe kombe lao kabisa wasichoshwe na mamechi mengineJamani Kuna msiba huko anfield [emoji23][emoji23]
Pointi kubwa[emoji123]Hii taarifa inaisaidiaje Arsenal kushinda mechi inayofuata?
Wewe hujui kitu kushinda EtH aliyemsajili. Antony bado hajafikia full potential, halafu United tunaunda kikosi (bora barani Ulaya) tunataka timu yetu iwe na qualities sawa kwa kikosi cha kwanza mpaka bench. Nyie endeleeni na wachezaji wenu wa mafungu.
Hata Arsenal kuna wachezaji last season walionekana wa kawaida sana ila msimu huu wanakiwasha. Kinachowasumbua ni value tu ya Antony ambayo haina uhusiano na uwezo wake. Ajax walitaka ile pesa kutokana na vitu vingi na sisi tukakubali, shida iko wapi tuki-spend €100m au kisa timu yenu haiwezi?
Kuna wakati wachezaji wazuri ndy wanaamua matokeo ya mechi.Hivi ni liver imechoka au klopp kachoka
Fergie na ten hag mgahawani
View attachment 2525723
Wote wamechoka,lakini Milner bado yuko bomba sana 😂😂😂Hivi ni liver imechoka au klopp kachoka
Huo ni unafiki ngoja wakusikie. [emoji3]Wote wamechoka,lakini Milner bado yuko bomba sana [emoji23][emoji23][emoji23]