Dish
JF-Expert Member
- Jun 3, 2019
- 628
- 930
HAWA FA MBONA WANATUCHELEWESHEA KUONGOZA LIGIView attachment 2524326
Fainal ya Corabo Cup…. Man U vs Newcastle itakuwa 26/2/2023
HAWA FA MBONA WANATUCHELEWESHEA KUONGOZA LIGIView attachment 2524326
Unahisi kwa sasa tunafanana uchezaji na Liverpool ya Salah na Mane waki-shine kuliko striker wao Firmino?Jana mapumziko wanatoa stats Epl jamaa alicheza Nyuma kuliko Fred na Sabitzer. Upo on point mkuu Jamaa anafanya Wachezaji wa pembeni wa Shine,
Kuna mambo mengi ukitoa mmiliki (mmuzaji) na mnunuzi. Manchester United ni biashara ipo ndani ya UK. United ni nembo ya soka la Uingereza, tumeshaona nguvu ya serikali kwa club kama Chelsea na mmiliki wao aliyepita ni ishu za kisiasa ndiyo zilifanya auze timu kwa lazima. Hili suala siyo la matajiri tu serikali na siasa zake pia watajichomeka hapa.Mkumbuke anayeiuza hiyo timu sio muingereza na ni mfanyabiashara.

Haya mambo magumu sana, kwanza muarabu akipewa timu itabidi akubali timu yake ishiriki The Rainbow Laces campaign ambayo ni lazima kila mshiriki wa Premier League a-support LGBTQ community.Hata mimi naona kama watampiga chini ili kuendeleza utamaduni wa Kiingereza kwa kuhofia Mwarabu kuleta mambo mengi ndani ya klabu..Manchester United ibebeba utamaduni wa Kiingereza.
Inabidi kuwe na backup ya DeJong kama akija kuzingua tena.Tuna Struggle sana Bila Case na Eriksen, Fred na Sabitzer sio wa Kuanza pamoja, Quality zao zinafanana, kama jana isingekua De Gea 1st half ni majanga,
Kama ulikuwa unamuona ETH jana alimind sana muda wote anatingisha kichwa.
Dirisha lijalo nahisi mbio za FDJ zitaanza tena.
Inasemekana Qatar wameshachukua timu.Mnasema Sir Jim ni kama Mo tu sio??View attachment 2524180
Mkuu , ile apk ulituwekea hapa ili lazimisha nii update sasa baada ya hapo iyo mpya ina matangazo kama takataka. Kwa niaba naomba update yake au utupatie chimbo zinapopatikana ili tuwe tunadownloadTuna Struggle sana Bila Case na Eriksen, Fred na Sabitzer sio wa Kuanza pamoja, Quality zao zinafanana, kama jana isingekua De Gea 1st half ni majanga,
Kama ulikuwa unamuona ETH jana alimind sana muda wote anatingisha kichwa.
Dirisha lijalo nahisi mbio za FDJ zitaanza tena.
Qatar na nchi zote za kiarabu hawajawahi kuwa na shida na hao mashoga wakiwa nje ya nchi zao.Haya mambo magumu sana, kwanza muarabu akipewa timu itabidi akubali timu yake ishiriki The Rainbow Laces campaign ambayo ni lazima kila mshiriki wa Premier League a-support LGBTQ community.
Sasa kwa ule mtiti walioleta Qatar kwenye World Cup kupiga vita LGBTQ bado wanataka wapewe timu ambayo inaenda kinyume na wanachokiamini.
Hapa ndiyo ile kauli ya "maisha bila unafiki hayaendi" itabidi itumike.
Serikali inatia mkono pia kwenye mambo haya makubwa..Mkumbuke anayeiuza hiyo timu sio muingereza na ni mfanyabiashara.
Kuna forum Fulani ya Ukraine inaitwa Mobilism mkuu App zozote za kuchakachua huwa zinapatikana huko.Mkuu , ile apk ulituwekea hapa ili lazimisha nii update sasa baada ya hapo iyo mpya ina matangazo kama takataka. Kwa niaba naomba update yake au utupatie chimbo zinapopatikana ili tuwe tunadownload
kwa huu muda mfupi niliomsoma Eth ni kwamba jamaa hana Formula, anatumia Alichonacho halazimishi, Tofauti na Pep na Klopp. Sasa hivi Liver wanazingua ila Klopp bado anakomaa tu na 4-3-3 yake.Unahisi kwa sasa tunafanana uchezaji na Liverpool ya Salah na Mane waki-shine kuliko striker wao Firmino?
Quality zinafanana mkuu, hata Sabitzer uwezo wa pasi ni wa kawaida tu, Wote Fred na Sabitzer ni Midfield wenye Energy wanakimbia mda wote, wanakaba na kuharibu mipango ya wapinzani ila hawana uwezo wa Kudictate midfield, kutoa pasi za mwisho na kuretain possesion.
Jana mpaka Kipindi cha kwanza kinaisha tuna Short on Target moja tu na lile Goli alilokosa Dalot, unaona kabisa hakuna Mbinu, Alivyoingia Sancho angalau zikawa zinaonekana movement za utengenezaji.
Hii ni PSG na inamilikiwa na Qatar, sasa hiyo point yako sio sahihi kwa hapaHaya mambo magumu sana, kwanza muarabu akipewa timu itabidi akubali timu yake ishiriki The Rainbow Laces campaign ambayo ni lazima kila mshiriki wa Premier League a-support LGBTQ community.
Sasa kwa ule mtiti walioleta Qatar kwenye World Cup kupiga vita LGBTQ bado wanataka wapewe timu ambayo inaenda kinyume na wanachokiamini.
Hapa ndiyo ile kauli ya "maisha bila unafiki hayaendi" itabidi itumike.
Kwani mchezaji wa kucheza role hiyo ni FDJ tu ?Tuna Struggle sana Bila Case na Eriksen, Fred na Sabitzer sio wa Kuanza pamoja, Quality zao zinafanana, kama jana isingekua De Gea 1st half ni majanga,
Kama ulikuwa unamuona ETH jana alimind sana muda wote anatingisha kichwa.
Dirisha lijalo nahisi mbio za FDJ zitaanza tena.
Football Team ownership, ni Biashara huria.Kuna mambo mengi ukitoa mmiliki (mmuzaji) na mnunuzi. Manchester United ni biashara ipo ndani ya UK. United ni nembo ya soka la Uingereza, tumeshaona nguvu ya serikali kwa club kama Chelsea na mmiliki wao aliyepita ni ishu za kisiasa ndiyo zilifanya auze timu kwa lazima. Hili suala siyo la matajiri tu serikali na siasa zake pia watajichomeka hapa.
Mimi nataka timu apewe muarabu bila kizuizi chochote na sisi tufaidi "oil money"![]()
Haya mambo magumu sana, kwanza muarabu akipewa timu itabidi akubali timu yake ishiriki The Rainbow Laces campaign ambayo ni lazima kila mshiriki wa Premier League a-support LGBTQ community.
Sasa kwa ule mtiti walioleta Qatar kwenye World Cup kupiga vita LGBTQ bado wanataka wapewe timu ambayo inaenda kinyume na wanachokiamini.
Hapa ndiyo ile kauli ya "maisha bila unafiki hayaendi" itabidi itumike.