Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Weughost ni defensive striker 😅😅😅...
Lkn kiufundi ana sapoti sana mbinu za ETH na toka atue united kachangia pakubwa timu kutulia na kaongeza sana mishemishe kule mbele na kuwapoza wapinzani kutokea kweny beki line. Na pia anatoa nafasi kwa wengne kuonyesha makali km rashford toka jamaa aje ni game moja tu hakufunga. na kiufundi forward line(average) inatakiwe akimbie kwa dakika 60 kati ya 90 za mchezo. Kwa hiyo jamaa iwe mwisho kumkosoa kwa mihemko....na sio ajabu akaongezewa mkataba na sio rahisi kuwekwa nje game ngumu kama arsenal, barcelona, man city, liverpool na wengne sababu ana implements tactics za ETH by that time km ilivo kwa wachezaji wengne km rashford, case, Martinez na wengne.
Jana mapumziko wanatoa stats Epl jamaa alicheza Nyuma kuliko Fred na Sabitzer. Upo on point mkuu Jamaa anafanya Wachezaji wa pembeni wa Shine,
 
Kuna watu wao wanayale mawazo ya kizamani kwamba ukiwa forward kazi yako ni kufunga. Of course kazi ya forward ni kufunga lakini naamini kazi kubwa Werghorst aliyopewa pale man u na ETH sio kufunga.

Kapewa kazi ya kupress kukaba na kuokoa pale inapobidi ndio maana ukimuangalia mda mwingi anakimbia kimbia na hii humfanya kuchoka hata pale anapopokea pass za kufunga anakuwa na pumzi chache. Naamini angekuwa hatimizi kile mwalimu amemtuma sasa hivi angekuwa anakalia bench.
Kuna assist aliitoa sema tu ikawa offside daah ilo jini acha kabisa
 
Jana mapumziko wanatoa stats Epl jamaa alicheza Nyuma kuliko Fred na Sabitzer. Upo on point mkuu Jamaa anafanya Wachezaji wa pembeni wa Shine,
Na ndio maana hata akinyimwa pass humuoni akifoka kama Ronaldo yaani utamuona anatabasamu tu coz anajua jukumu lake kuu sio kufunga na mwenzake akifunga anashangilia kama kafunga yeye.
 
Na ndio maana hata akinyimwa pass umuoni akifoka kama Ronaldo yaani utamuona anatabasamu tu coz anajua jukumu lake kuu sio kufunga na mwenzake akifunga anashangilia kama kafunga yeye.
😅😅😅
 
Hata mimi naona kama watampiga chini ili kuendeleza utamaduni wa Kiingereza kwa kuhofia Mwarabu kuleta mambo mengi ndani ya klabu..Manchester United ibebeba utamaduni wa Kiingereza.
London Asilimia Kubwa ni Biashara za Qatar, Dubai, Saudi na India. Unless Mashabiki wanaoenda kwenye Mechi wakatae watampa timu. Mwisho wa Mwezi tutajua nani na nani wapo kwenye mbio
 
HAWA FA MBONA WANATUCHELEWESHEA KUONGOZA LIGI [emoji35]
Screenshot_20230220_201836_All%20Goals.jpg
 
Mkumbuke anayeiuza hiyo timu sio muingereza na ni mfanyabiashara.
Kuna mambo mengi ukitoa mmiliki (mmuzaji) na mnunuzi. Manchester United ni biashara ipo ndani ya UK. United ni nembo ya soka la Uingereza, tumeshaona nguvu ya serikali kwa club kama Chelsea na mmiliki wao aliyepita ni ishu za kisiasa ndiyo zilifanya auze timu kwa lazima. Hili suala siyo la matajiri tu serikali na siasa zake pia watajichomeka hapa.

Mimi nataka timu apewe muarabu bila kizuizi chochote na sisi tufaidi "oil money" [emoji2]
 
Hata mimi naona kama watampiga chini ili kuendeleza utamaduni wa Kiingereza kwa kuhofia Mwarabu kuleta mambo mengi ndani ya klabu..Manchester United ibebeba utamaduni wa Kiingereza.
Haya mambo magumu sana, kwanza muarabu akipewa timu itabidi akubali timu yake ishiriki The Rainbow Laces campaign ambayo ni lazima kila mshiriki wa Premier League a-support LGBTQ community.

Sasa kwa ule mtiti walioleta Qatar kwenye World Cup kupiga vita LGBTQ bado wanataka wapewe timu ambayo inaenda kinyume na wanachokiamini.

Hapa ndiyo ile kauli ya "maisha bila unafiki hayaendi" itabidi itumike.
 
Tuna Struggle sana Bila Case na Eriksen, Fred na Sabitzer sio wa Kuanza pamoja, Quality zao zinafanana, kama jana isingekua De Gea 1st half ni majanga,

Kama ulikuwa unamuona ETH jana alimind sana muda wote anatingisha kichwa.

Dirisha lijalo nahisi mbio za FDJ zitaanza tena.
Inabidi kuwe na backup ya DeJong kama akija kuzingua tena.

Hatuwezi kimbiza mchezaji mmoja dirisha zima halafu tunakuja ambulia patupu.

Tuwe na options kama 3 hivi.
 
Back
Top Bottom