Amefanya kazi kubwa sana leo hasa kwenye ukabaji na kuharibu mipango alikuwa yupo karibu kila mahali penye mpira, ni kweli leo kwa mara ya kwanza nimeona kapewa pasi nyingi na amekosa magoli ila siwezi mlaumu kwa kuwa timu imeshinda na pia niwapongeze mabeki na kipa wa Lester maana walisave au kublock mashuti yake.Ila leo kacheza vizuri isipokuwa kufunga goli.
Chelsea ni kakikundi kawavuta BangiNzi wa chooni hawapiti huu uzi. Tena wale nzi wa bluu wasipite hapa timu yao imezidiwa magoli na Rashford.
Arsenyani shikilia bomba vizuri.
Naombeni like za kutosha katika hii quoteMapemaa saana 3pointsView attachment 2522175
Itakuwa ya moto balaa..can't wait.Next game, nasubiria combination ya Casimiro na Sabitzer
Hapo ndipo alipokosea Ole, alikuwa anaenda vizuri shida yake alikuwa na ubaguzi wa wachezaji yeye kila mechi ni wachezaji wale wale akawafanya wengine wakakosa furaha na kupoteza uwezo wao.Ten hag Kuna kitu kaongeza kafanya united ionekane timu yenye kikosi kipana
Me nasemaga hapa daily! Hatuna budi kumzoea.[emoji28]Shida yako kubwa huwa ni kuhisi unaujua mpira kuliko wenzako kumbe ni mlala hoi tu, na hili ni tatizo nililoliona kwako tangu zamani ila nadhani wadau humu huwa wanakupuuza.
Shaw ni mzuri kwenye kupeleka mashambulizi mbele (hilo linajulikana) ila kwenye swala la ukabaji hana hayo maajabu yoyote unayojaribu kutuaminisha hapa, hasa anapokutana na mawinga teleza (ndiomaana nikasema nae ni msindikizaji mzuri tu)
Kaangalie ile game yetu na Arsenal uone alivyokuwa anamsindikiza Saka golini.
Sent using Jamii Forums mobile app