Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rashfooooooooord
Screenshot_20230219_181841_All%20Goals.jpg
 
Hili jamaa nalo la wapi..unamjua Shaw wewe kweli?
Shida yako kubwa huwa ni kuhisi unaujua mpira kuliko wenzako kumbe ni mlala hoi tu, na hili ni tatizo nililoliona kwako tangu zamani ila nadhani wadau humu huwa wanakupuuza.

Shaw ni mzuri kwenye kupeleka mashambulizi mbele (hilo linajulikana) ila kwenye swala la ukabaji hana hayo maajabu yoyote unayojaribu kutuaminisha hapa, hasa anapokutana na mawinga teleza (ndiomaana nikasema nae ni msindikizaji mzuri tu)

Kaangalie ile game yetu na Arsenal uone alivyokuwa anamsindikiza Saka golini.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom