Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Screenshot_20230219_185527_All%20Goals.jpg
 
Huyu Sancho naye ashaanza kupewa madini aliyopewa kaka yake (Rashford) kipindi hayupo. Taratibu tutafika tu.

Mechi ya leo Rashford angecheza 90' angeondoka na mpira.

Weghorst ukiacha kufunga (ambayo ndiyo kazi yake kuu) ameupiga mwingi sana leo, kuanzia kukaba mpaka kushambulia hasa 2nd half.

Leicester walitepeta ilitakiwa waoge mvua ya magoli, cha muhimu points 3. Macho yangu yatahamia kwa Barcelona vs Cadiz hapo baadae.

EtH is cooking!!! 🔥
 
EtH is cooking!!!
....PURE RED
20230206_222858.jpg
 
Back
Top Bottom