Wins player of the week wakati hayupo kwenye kikosi cha week, hii inaitwajeManchester United's Marcus Rashford wins Player of the Week
#UELPOTW
#TrustTheProcessETH
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2520559
Player of the week wanatoa UEFA EUROPA LEAGUE ila hiyo Team of the week wameitoa SOFASCORE hivyo basi ni vyanzo viwili tofauti.Wins player of the week wakati hayupo kwenye kikosi cha week, hii inaitwaje
BREAKING NEWS




Nani aliitafta sare kati ya man u na barca??Hongereni kwa ushindi jana nyie manure maan sishani kama kuna team kutoka EPL imeshawi kuondoka na ushindi pale camp nou .Kupata sare ni ushindi mkubwa sana kwenu.
Baada ya kupata sare nani akawa anatatafutwa last 15 minutes? Concept ni kwamba mlitangulia tu. Honestly mmejitahidi sana kupata sare camp nou.Nani aliitafta sare kati ya man u na barca??