Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,787
- 40,370
Sijawahi kuona beki ya kulia inachezwa kama hivi.Anacheza sana ndani upande wake umekuwa uchochoro kwa Barca
Sijawahi kuona beki ya kulia inachezwa kama hivi.Anacheza sana ndani upande wake umekuwa uchochoro kwa Barca
Tuna uhakika huyu alikuwa mchezaji huko? Nimeshangaa sana hata control ndogo tu inamshindaW. Ghost yeye na kipa kawa kama Kibu chance ya wazi..
Bisaka na huyu shoga yake wanakaba wenzao.Tuna uhakika huyu alikuwa mchezaji huko? Nimeshangaa sana hata control ndogo tu inamshinda
Haya matokeo ni ya playstation au reality
Na mpaka sasa kafanikiwaTen Hag: “We will press them [Barcelona] high if possible. When we have the ball, we have to let them [#mufc players] run – we have players in our team who are able to play [like that], so we have to let them play.” [BT Sport]
Salute mkuu nakupa salute na nakuomba kama ni mwanaume unioeNa mpaka sasa kafanikiwa
[emoji44][emoji44][emoji44]nini hiii!!!!Salute mkuu nakupa salute na nakuomba kama ni mwanaume unioe
Kwa sababu hujui mpira, Man United wanajitahidi kiwa narrow kwenye defence ili kupunguza through balls kwenda kwa Lewandoski na kudhibiti mikimbio ya kina Rafinha.Sijawahi kuona beki ya kulia inachezwa kama hivi.