Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mata sio World Class ni bench warmer. Nakubali ana quality lakini huwezi kumweka katika mabano ya World class, kama angekuwa world class asingesugulia benchi Chelsea. Jamaa alikuwa desperate kuondoka Chelsea hata Newcastle wangempandia dau angetimua.

Duh!

Kwa hiyo Torres anapokuwa bench naye anakuwa siyo world class player? Kwa hiyo Rooney alivyokuwa akipigwa benchi na SAF akawa sio world class player? Cesc anavyokuwa bench Barca anakuwa siyo world class player? Kwa hiyo Willian kucheza mbele ya Mata ndiyo anakuwa world class player?

Kwa sababu anakuja United eti sasa Mata anaonekana mchezaji wa kawaida. Lakini wanasahau alivyokuwa mchezaji bora wa Chelsea toka amehamia pale. Jose kuwajaza ujinga, nao wanakula, badala ya kuchanganya na za kwao!
 
Jose huwa anachemka sana...kamfanyia fitna LUKAKU huyo sasa anang'aa Everton...same way to #Mata , he is a good player
 
Mata sio World Class ni bench warmer. Nakubali ana quality lakini huwezi kumweka katika mabano ya World class, kama angekuwa world class asingesugulia benchi Chelsea. Jamaa alikuwa desperate kuondoka Chelsea hata Newcastle wangempandia dau angetimua.

Hata kina Wilshere,Cazorla,Ramsey wanaweza kuwa bench warmer mbele ya Jose Mourinho.Hata Casilas alionja joto ya jiwe ya Jose

As a football player MATA has won World Cup,EURO,FA Cup,Uropa Cup,UEFA Champions League
 
Duh!

Kwa hiyo Torres anapokuwa bench naye anakuwa siyo world class player? Kwa hiyo Rooney alivyokuwa akipigwa benchi na SAF akawa sio world class player? Cesc anavyokuwa bench Barca anakuwa siyo world class player? Kwa hiyo Willian kucheza mbele ya Mata ndiyo anakuwa world class player?

Kwa sababu anakuja United eti sasa Mata anaonekana mchezaji wa kawaida. Lakini wanasahau alivyokuwa mchezaji bora wa Chelsea toka amehamia pale. Jose kuwajaza ujinga, nao wanakula, badala ya kuchanganya na za kwao!

Kuna kuwa a bench warmer na kuwa bench subs. Angalia Mata alivyosugulia benchi afu linganisha na hao mliowataja ambao ni subs na huwa wanacheza. Niambie Mata kacheza mara ngapi chini ya Mourinho. Hata hiyo bench warmer (chini ya Mourinho) nilimpendelea sababu ya Quality aliyokuwa nayo. Jamaa hakuwa anapata hata subs spot. Yeah ni mchezaji mzuri lakini huwezi kusema ni World Class kati ya Ma-World Class. Labda kwa British hyping standard ya kuwaita kina Wilshere, Cleverly, Scott Parker ni World Class kabla hawajafanya lolote la maana basi utaweza kumhesabu Mata ni World Class.
 
Juan Mata finally come to the theatre of dreams.great news for man united fans we been waiting for a big name

4ahuduja.jpg
ara3yru4.jpg
 
Umemsikia Fergie alichosema leo kuhusu suala la ubingwa??

Nimesikia mpirani watangazaji wanadai kasema Arsenal defence sio nzuri kama inavyosifika..... Kasema nini? kuwa Man utd bado mna chance ya kubeba domestic trebles? lol
 
Utatukubalii tuu, Ngoja hii window ya january iishe uone vifaa vinavyokuja

Kocha wako keshaanza kuweweseka (Ohh hizi ni njama) kuona kifaa Mata kinatua old traford
 
hahaha hata Fellaini alipotua mlisema ni bonge la kifaa. Wengine hapa wanadai Kagawa hawafai. Vifaa vitakavyokuja summer vitakuwa level ya World Class Welbeck, Young.
 
Fergie kasema timu 6 zina uwezo wa kuchukua ubingwa na la muhimu alilolizungumzia ni kuwa kipindi hiki ndio UTD inaonyeshaga makali.

Huku RVP huku Wayne huku Juan dimba la kati atakuwa anazunguka PP (anarudi nyumbani), kweli anachosema Fergie ninakubaliana nacho

Alipokuja Fellaini , Wenger hakulalamika, shituka kwanini ujio wa Mata unamuwewesesha?
 
Fergie michosho sana.. Kasema timu sita lakini kakataa kuitaja liverpool. Jamaa anawachukia Liverpool kinoma afu roho itakuwa inamuuma kuona Liverpool wapo juu ya United. Kweli jasiri hasau asili. Liverpool watamaliza ligi miaka miwili mfululizo juu ya man utd tutaona jinsi Fergie atakavyokuwa na hasira za mbwa kichaa.Babu bado anadhani mtapush kupata nafasi za juu juu. Huyu dingi naona anataka kufanya kama vile Osama alivyokuwa anatoa meseji kwa vibaraka wake, sitoshangaa kuona marefa wanaanza kuwabeba mpate nafasi ya CL lol.

Hivi RVP kacheza mechi ngapi mfululizo msimu huu? Mata nadhani amenunuliwa kwa msimu ujao zaidi, msimu huu hamtapata mengi toka kwake. PP ni Pogba? kama ndo yeye sidhani kama atarudi England na Man Utd muda wa karibuni.
cc Pazi
 
Hahahaha kwahiyo Sir Alex hatakiwi kuzungumza ukweli ? {juu ya hizo timu 6 minus liverpool}

Mziki wa Mata unaanza mwaka huu, wewe angalia uone

Pogba anarudi home kuja kurudisha heshima yetu

RVP atacheza msimu huu wote huu {akirudi uwanjani}
 
Hahahaha kwahiyo Sir Alex hatakiwi kuzungumza ukweli ? {juu ya hizo timu 6 minus liverpool}

Mziki wa Mata unaanza mwaka huu, wewe angalia uone

Pogba anarudi home kuja kurudisha heshima yetu

RVP atacheza msimu huu wote huu {akirudi uwanjani}[/QUOTE]

Yeah, akirudi uwanjani.. Miaka 8 tulikuwa tunasema hivyo hivyo akirudi akirudi.Jamaa anafaidi 100,000+GB pounds a week, akirudi atacheza wiki mbili, tatu then ataumia hadi mid-late April atarudi kustay fit kwa World Cup.
 
Fergie michosho sana.. Kasema timu sita lakini kakataa kuitaja liverpool. Jamaa anawachukia Liverpool kinoma afu roho itakuwa inamuuma kuona Liverpool wapo juu ya United. Kweli jasiri hasau asili. Liverpool watamaliza ligi miaka miwili mfululizo juu ya man utd tutaona jinsi Fergie atakavyokuwa na hasira za mbwa kichaa.Babu bado anadhani mtapush kupata nafasi za juu juu. Huyu dingi naona anataka kufanya kama vile Osama alivyokuwa anatoa meseji kwa vibaraka wake, sitoshangaa kuona marefa wanaanza kuwabeba mpate nafasi ya CL lol.

Hivi RVP kacheza mechi ngapi mfululizo msimu huu? Mata nadhani amenunuliwa kwa msimu ujao zaidi, msimu huu hamtapata mengi toka kwake. PP ni Pogba? kama ndo yeye sidhani kama atarudi England na Man Utd muda wa karibuni.
cc Pazi

Mashabiki wa Liverpool hakuna mtu ambaye wanamchukia kuliko SAF,kawaulize wanajua alichowafanyia.Wao wanatamani SAF angefukuzwa kazi enzi hizo,Na wewe still unaamini Liverpool ana nafasi ya kuchukua ubingwa ?RVP hata asipocheza tena muulize Mancini alivyolia baada ya kuukosa ubingwa RVP alishafanya kazi kuleta ubingwa wa 20.
 
Fergie michosho sana.. Kasema timu sita lakini kakataa kuitaja liverpool. Jamaa anawachukia Liverpool kinoma afu roho itakuwa inamuuma kuona Liverpool wapo juu ya United. Kweli jasiri hasau asili. Liverpool watamaliza ligi miaka miwili mfululizo juu ya man utd tutaona jinsi Fergie atakavyokuwa na hasira za mbwa kichaa.Babu bado anadhani mtapush kupata nafasi za juu juu. Huyu dingi naona anataka kufanya kama vile Osama alivyokuwa anatoa meseji kwa vibaraka wake, sitoshangaa kuona marefa wanaanza kuwabeba mpate nafasi ya CL lol.

Hivi RVP kacheza mechi ngapi mfululizo msimu huu? Mata nadhani amenunuliwa kwa msimu ujao zaidi, msimu huu hamtapata mengi toka kwake. PP ni Pogba? kama ndo yeye sidhani kama atarudi England na Man Utd muda wa karibuni.
cc Pazi

kuku akikatwa kichwa huwa anarukaruka sana mpaka kukata roho,tulia sindano ndio kwanza imeingia dawa bado haijaanza kutiririka katika mishipa yako
 
Hahaaa man utd tulieni...jnne mnakalia moto na cardiff city...mchukueni mbuyi twite hamtaki
 
Sasa Moyes ameanza kukomaa kwenye fitna za Usajili sio kama mwanzo anatangaza waziwazi kuwa anamtaka mchezaji flani hadharani:

Manchester United is pleased to announce it has reached agreement with Chelsea Football Club for the transfer of Juan Mata for a club-record fee. The deal is subject to a medical and the agreement of personal terms.
 
Back
Top Bottom