Piere. Fm
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,261
- 1,253
Kwa ule upigaji wa penati kwa wachezaji wa UNITED inaonyesha kuna mambo mawili:
1.Walikuwa wanafanya makusudi kwa ajili ya kumkomoa Mwalimu(MOYES) au
2.Ilikuwa ni moja ya strategy yao kukwepa fainali WIMBLEY kukutana na CITY
Duuh! Kwa hiyo sababu ya 2 nadhani tuwasubirie wahusika wenyew waje kutuhakikishia.