Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

article-2544925-1AE9D6D900000578-834_624x599.jpg
 
kaka yangu Ntuzu...usisahau kila jambo na majira yake..kuna wakati wa kupata na wa kukosa..tulivokua washindi mfululizo hatukuwaza kuiacha timu yetu nzuri..na hata sasa tunaposhindwa kila mara..hatutakiwi kuiacha..ndo maana ya upendo..ni katika shida na raha..mie nikiacha utawa (wala sitarajii) nitafunga ndoa na man U..
mwallu dada Yangu Nitumie lugha gani kukuambia utoke Huko kwa mashetani yaliyokufa? Nilikuambia siku ile timu yenu imekwenda na Babu Alex imekufa! Hautaki!

Aya Wewe kaa Huko Huko na ubishi wako bora miss chagga yeye kaamua kua Mwenye furaha kila siku na Chelsea
 
Last edited by a moderator:
kaka yangu Ntuzu...usisahau kila jambo na majira yake..kuna wakati wa kupata na wa kukosa..tulivokua washindi mfululizo hatukuwaza kuiacha timu yetu nzuri..na hata sasa tunaposhindwa kila mara..hatutakiwi kuiacha..ndo maana ya upendo..ni katika shida na raha..mie nikiacha utawa (wala sitarajii) nitafunga ndoa na man U..

Mimi nakuacha dada Yangu! Lkn nakunyima lambilambi dada yng! Nakuacha Na misiba yako!
 
Last edited by a moderator:
kaka yangu Ntuzu...usisahau kila jambo na majira yake..kuna wakati wa kupata na wa kukosa..tulivokua washindi mfululizo hatukuwaza kuiacha timu yetu nzuri..na hata sasa tunaposhindwa kila mara..hatutakiwi kuiacha..ndo maana ya upendo..ni katika shida na raha..mie nikiacha utawa (wala sitarajii) nitafunga ndoa na man U..
We mtawa huku hapakufai...hao akina Ntuzu hawana neno jema hata kidogo, utapatwa presha tu mtawa...nyodo, ngema, magomvi, fitna, majungu na kila kitu utayapata huku mtawa...karibu

article-2544925-1AE9D6D900000578-834_624x599.jpg

article-2544925-1AE9D15800000578-891_625x181.jpg

article-2544925-1AE9D6BD00000578-540_306x454.jpg
 
Last edited by a moderator:
wananishawishi kuikacha timu yangu nzuri..na wewe u mmoja wao?
We mtawa huku hapakufai...hao akina Ntuzu hawana neno jema hata kidogo, utapatwa presha tu mtawa...nyodo, ngema, magomvi, fitna, majungu na kila kitu utayapata huku mtawa...karibu

article-2544925-1AE9D6D900000578-834_624x599.jpg

article-2544925-1AE9D15800000578-891_625x181.jpg

article-2544925-1AE9D6BD00000578-540_306x454.jpg
 
[h=2]Mourinho Confirms Mata Move Close[/h]Jose Mourinho has confirmed Juan Mata is set to sign for Man United having been given permission to have a medical. Read
 
Jose Mourinho, speaking at a press conference ahead of Chelsea's FA Cup tie with Stoke City, has had his say on the Juan Mata situation. "Things are going in a good direction and we have allowed Juan to have the medical with United," said the Blues boss. "I think sooner, rather than later, it will be finalised. It's a fantastic opportunity for him. The offer we have received, we feel, is the right offer for the quality of the player. One day, if he comes back to Chelsea in a Manchester United shirt, then the stadium will show him how much they respect him."
 
It is amazing how Wenger and Pellegrini are complaining about Mata's record breaking move to #ManUnited

I thought they don't see United as a threat to their EPL title campaigns!! What is the #Mata now lads?

Oh! Wait a minute, I thought Wenger did sell RvP to United; Nasri and Clichy to Shitty; Cole to Chelsea. So now because, #Mata is the #Mata you say it is unfair!

Come Wenger you are a stronger chap , you have been strong by staying 9 years without a trophy. How can't you take the heat from #JuanUnitedMata move to a club that don't pose a threat to your title ambitions?

#AmazingGoon
 
Namkubali Juan Mata"ta" atawasaidia kuziba pengo la Rooney pindi akiondoka summer hii. "Matata" na Adnan "Janajuzi" wanaweza kuwa mastar wakali msimu ujao

Ona huyu...unaanza kuweweseka?

Si ni wewe ulisema #ManUnited sasa haiwezi kuvutia world class players? Imekuwaje tena?

Na bado....mtazidi kuweweseka zaidi pale a sleeping giant likiamka.

Kuhusu Rooney, mazungumzo yanasemekana yameanza kati yake na United. Hivyo, kwa sasa, hakuna ushahidi wa kusema ataondoka next summer.
 
Mata sio World Class ni bench warmer. Nakubali ana quality lakini huwezi kumweka katika mabano ya World class, kama angekuwa world class asingesugulia benchi Chelsea. Jamaa alikuwa desperate kuondoka Chelsea hata Newcastle wangempandia dau angetimua.
 
Back
Top Bottom