omary mwene
JF-Expert Member
- Nov 6, 2013
- 293
- 55
ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaa.......kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiii...nasikia raha utamu,utamu raha kufungwa hili gari la mkaaaaaaaa.
Poor man United lazima mshuke daraja 🙂 🙂 :'(
Ona huyu naye....
ebana nilikwambia hamia ARSENAL utaweza kupata nafasi ya kubeba hata madeli ya ice cream. Hii timu bora mgawane jezi kama Pompey lol
Medali? Hivi mara ya mwisho medali imeonekana lini hapo? Kwanza ukitamka hilo neno pale Emirates, watakushangaa, kwani wachezaji hawajui maana yake....
Vipi, S'land ni tawi la nani sasa?