Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahaaa man utd tulieni...jnne mnakalia moto na cardiff city...mchukueni mbuyi twite hamtaki

Poa tu ila cha kufurahisha ni kuwa kwenye game ya Arsenal mashine zote za mauji Rooney, Van Persie & Mata zitakua uwanjani kuwafanya vibaya Arsenal. na kuanzia game ijayo ndo ligi inaanza sasa tutakama mmoja baada ya mwingine
 
Kila wakati kuanzia wiki ijayo...!
 
Mwaka huu mtakufa kwa hofu
 
Attachments

  • 1390639064742.jpg
    1390639064742.jpg
    37.9 KB · Views: 93
Mashabiki wa Liverpool hakuna mtu ambaye wanamchukia kuliko SAF,kawaulize wanajua alichowafanyia.Wao wanatamani SAF angefukuzwa kazi enzi hizo,Na wewe still unaamini Liverpool ana nafasi ya kuchukua ubingwa ?RVP hata asipocheza tena muulize Mancini alivyolia baada ya kuukosa ubingwa RVP alishafanya kazi kuleta ubingwa wa 20.

Dah mfa maji/sizitaki mbichi hizi... ina maana RVP alisajiliwa kwa mwaka mmoja? Nakumbuka alisaini mkataba wa miaka 2 au 3 hivi... wewe kubali jamaa ni injury prone miaka yote, lakini kusuggest kuwa alinunuliwa kuleta ubingwa wa 20 ni very weak. Anyway, tusubiri muda si mrefu mtakuja kumlaumu ModefeatYes kwa kumnunua hata Mata maana tumeshazowea mnavyomlaumu Fergie kwa wachezaji wabovu aliowaacha kitu ambacho mngeambiwa misimu 2 iliyopita wakati mpo juu msingekubali.
 
Naona unazidi kujichanganya RVP ni injury prone hakuna aliyekataa,alikaa Arsenal miaka 8 hakushinda chochote but amekuja United msimu wa kwanza akasaidia kutupa ubingwa.Mimi sio mnafiki ni kweli SAF aliacha wachezaji wabovu but alikuwa anajua kuwatumia ukiangalia pesa ya usajili waliotumia Chelsea,Liverpool,Spurs na Man City misimu 4 iliyopita lakini still SAF alikuwa anawapa dozi akiwa na hao hao wachezaji.Wachezaji hao hao ndio walikufunga goli 8
Tunajenga timu upya, Mata ametua na bado Moyes anatafuta wachezaji wapya.Nyie endeleeni kusindikiza watu mwaka wa 9 mfululizo
 
Who is that boy? #Mata

220EB81657484FE6A628611B5B04E136.ashx

Mata arriving in a chopper, classy, uh?

EE33F1199F684EBEB80FB9D9A80D9D53.ashx

Touching down at AON complex as a #ManUnited player

F044D25FA62B458BA70A687988724B80.ashx

Welcome #JuanUnitedMata

69F19303E77E4E58B464AFF638F4A6A5.ashx

Taking his first steps at Carrington

0ACA54D7EC6B4D8A99CF8F9005F1AAAA.ashx

Of course, you have to smile Mata, you are a #ManUnited player

821DF42A66834E8A9F895D041C41ECB3.ashx

First handshake with the manager

D3FBE0FC69BB42EA8CC317248166B242.ashx

Finally, you made it

C8F922EF399E449690837FBB1F1A2BBB.ashx

There is where you will be training with the team Mata

DE70EEFD9E8E49A0A3785C69C1E8735F.ashx

Smiling all the way...

4B84FD2C5FB1457A937DEEDD0B1E890D.ashx

Taking a first pose together..

D9C7F0E4059842A5A45BF6482D44B76F.ashx

Receiving some ABCs at Carrington...

BC0C4E9AA91D4D7AB7477020B5A2807E.ashx

Going for the medical?!

B718CC506676409C8A19925318A78FF0.ashx

In the house.....#JuanUnitedMata

Source: Gallery: Mata meets Moyes - Official Manchester United Website
 
Kuna kuwa a bench warmer na kuwa bench subs. Angalia Mata alivyosugulia benchi afu linganisha na hao mliowataja ambao ni subs na huwa wanacheza. Niambie Mata kacheza mara ngapi chini ya Mourinho. Hata hiyo bench warmer (chini ya Mourinho) nilimpendelea sababu ya Quality aliyokuwa nayo. Jamaa hakuwa anapata hata subs spot. Yeah ni mchezaji mzuri lakini huwezi kusema ni World Class kati ya Ma-World Class.

Hivi unajua sababu za Jose kumweka benchi Mata? Mchezaji aliyekuwa bora wa timu kwa miaka 2 mfululizo na kuiwezesha timu kushinda UCL na Europa, iweje aonekane hafai kwa Jose? Kutocheza chini ya Jose, hakumaanish mchezaji siyo world class joh! Mchezaji ambaye toka mwaka 2011/12 hadi leo, ni wa pili (nyuma ya Silva wa Shitty) kwa kutoa assists?

Najua inakuuma sana #JuanUnitedMata kuja United; lakini naamini ushazoea, kwani ndiyo inakuwa kawaida sasa ya United. Tulianza na mchezaji bora wa goons, RvP, sasa tumemaliza kwa mchezaji bora wa Chelsea, next adventure ni Aguero...naona hapo mtakufa kwa kihoro.....na Rooney anaelekea kupewa dili la paundi laki 3 kwa wiki.....na RvP kamwambia Mata wakutane j4 pale OT.......

Labda kwa British hyping standard ya kuwaita kina Wilshere, Cleverly, Scott Parker ni World Class kabla hawajafanya lolote la maana basi utaweza kumhesabu Mata ni World Class.

Ona sasa....wapi nimesema hao uliowaandika ni world class? Wheelchair? Cleverley? Acha masihara aisee...yaani unamfananisha #JuanUnitedMata na hayo magalasa!??!

Kama inakuuma sana, basi Mata siyo world class player, happy?!
 
Nzi
Naona utakuwa umekunywa maji ya jezi za Neville na Scholes baada ya kupigana denda uwanjani. Haya furahia jamaa ni bonge la world class aliyeshindwa kuwika miongoni mwa pensioners wa Mourihno, Sasa atakuwa stand out miongoni mwa magalasa ya kina Welbeck, Young, Jones. Just a banter.
 
Who is that boy? #Mata

220EB81657484FE6A628611B5B04E136.ashx

Mata arriving in a chopper, classy, uh?

EE33F1199F684EBEB80FB9D9A80D9D53.ashx

Touching down at AON complex as a #ManUnited player

F044D25FA62B458BA70A687988724B80.ashx

Welcome #JuanUnitedMata

69F19303E77E4E58B464AFF638F4A6A5.ashx

Taking his first steps at Carrington

0ACA54D7EC6B4D8A99CF8F9005F1AAAA.ashx

Of course, you have to smile Mata, you are a #ManUnited player

821DF42A66834E8A9F895D041C41ECB3.ashx

First handshake with the manager

D3FBE0FC69BB42EA8CC317248166B242.ashx

Finally, you made it

C8F922EF399E449690837FBB1F1A2BBB.ashx

There is where you will be training with the team Mata

DE70EEFD9E8E49A0A3785C69C1E8735F.ashx

Smiling all the way...

4B84FD2C5FB1457A937DEEDD0B1E890D.ashx

Taking a first pose together..

D9C7F0E4059842A5A45BF6482D44B76F.ashx

Receiving some ABCs at Carrington...

BC0C4E9AA91D4D7AB7477020B5A2807E.ashx

Going for the medical?!

B718CC506676409C8A19925318A78FF0.ashx

In the house.....#JuanUnitedMata

Source: Gallery: Mata meets Moyes - Official Manchester United Website

Like Fellaini...like Mata.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Poa tu ila cha kufurahisha ni kuwa kwenye game ya Arsenal mashine zote za mauji Rooney, Van Persie & Mata zitakua uwanjani kuwafanya vibaya Arsenal. na kuanzia game ijayo ndo ligi inaanza sasa tutakama mmoja baada ya mwingine

Kunywa maji upunguze jazba...

"Nlikuwepo":bolt:
 
Hahahaha kwahiyo Sir Alex hatakiwi kuzungumza ukweli ? {juu ya hizo timu 6 minus liverpool}

Mziki wa Mata unaanza mwaka huu, wewe angalia uone

Pogba anarudi home kuja kurudisha heshima yetu

RVP atacheza msimu huu wote huu {akirudi uwanjani}

What am doing is marking your words...
Wewe ns Furgerson nitaeshitaji jukwaani hapa kujibu maswali ya kushangaza.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Naona unazidi kujichanganya RVP ni injury prone hakuna aliyekataa,alikaa Arsenal miaka 8 hakushinda chochote but amekuja United msimu wa kwanza akasaidia kutupa ubingwa.Mimi sio mnafiki ni kweli SAF aliacha wachezaji wabovu but alikuwa anajua kuwatumia ukiangalia pesa ya usajili waliotumia Chelsea,Liverpool,Spurs na Man City misimu 4 iliyopita lakini still SAF alikuwa anawapa dozi akiwa na hao hao wachezaji.Wachezaji hao hao ndio walikufunga goli 8
Tunajenga timu upya, Mata ametua na bado Moyes anatafuta wachezaji wapya.Nyie endeleeni kusindikiza watu mwaka wa 9 mfululizo

Nakubali tunaweza kuwa wasindikizaji kwa mwaka 9 mfululizo (jibu litapatikana mei) lakini kitu nachoamini ni kuwa timu yetu itakuwa bora mwaka ujao na kuna uwezekano wa kubeba kombe kama si msimu huu basi ujao zaidi ya Man utd. Man Utd mtaijenga timu ya kuchalenji top honours kwa at least misimu miwili ijayo achilia huu. Mnahitaji overhaul kubwa, kumsajili sijui Mata na wengine ifikapo summer transfer haitasaidia kuwarudisha juu quickly. Na kuhusu kufungwa goli 8, ndio imetokea lakini kila mnapotufunga tunakuwaga na mapungufu fulani, ile timu iliyofungwa goli 8 ilikuwa imejaa mabeki magalasa ya kina Eboue, Jenkinson, Djourou etc wakati mlikuwa dhatiti. Anyway ndo mpira. Moyes (lack of officials influence) imewafungua macho na kuonyesha mapungufu ya hiyo timu. Bila Fergie kuinfluence marefa Man Utd isingekuwa hii mnayoijua. Mtaendelea kumlaumu Moyes sijui Fergie lakini ukweli ni kuwa timu ilikuwa mbovu sio tu last term ya Fergie bali kabla ya hapo. Anyway, Let misery iendelee Old Trafford.
NB tunamuuza Frimpong summer leteni pesa atawasaidia katikati kuliko Jones.
 
Like Fellaini...like Mata.

"Nlikuwepo":bolt:

Poleni kwa kupigwa tena bao na Chelsea juzi, unakumbuka magarasa yenu kina Carol,Downing.Now its 25+ years mnaendelea kuwa wasindikizaji wa EPL mpaka Caragher ameamua kustaafu
 
Nakubali tunaweza kuwa wasindikizaji kwa mwaka 9 mfululizo (jibu litapatikana mei) lakini kitu nachoamini ni kuwa timu yetu itakuwa bora mwaka ujao na kuna uwezekano wa kubeba kombe kama si msimu huu basi ujao zaidi ya Man utd. Man Utd mtaijenga timu ya kuchalenji top honours kwa at least misimu miwili ijayo achilia huu. Mnahitaji overhaul kubwa, kumsajili sijui Mata na wengine ifikapo summer transfer haitasaidia kuwarudisha juu quickly. Na kuhusu kufungwa goli 8, ndio imetokea lakini kila mnapotufunga tunakuwaga na mapungufu fulani, ile timu iliyofungwa goli 8 ilikuwa imejaa mabeki magalasa ya kina Eboue, Jenkinson, Djourou etc wakati mlikuwa dhatiti. Anyway ndo mpira. Moyes (lack of officials influence) imewafungua macho na kuonyesha mapungufu ya hiyo timu. Bila Fergie kuinfluence marefa Man Utd isingekuwa hii mnayoijua. Mtaendelea kumlaumu Moyes sijui Fergie lakini ukweli ni kuwa timu ilikuwa mbovu sio tu last term ya Fergie bali kabla ya hapo. Anyway, Let misery iendelee Old Trafford.
NB tunamuuza Frimpong summer leteni pesa atawasaidia katikati kuliko Jones.

Nimekwambia timu imeanza kujengwa upya,ilikuwa nafasi nzuri kwenu at least kuchukua ubingwa this season lakini now mnajua ubingwa wenu utakuwa kumaliza juu yetu.Still hamna ubavu wa kushindana na City na Chelsea

Hatuhitaji kuifluence marefa kuzifunga timu kama Arsenal,mbona tumechukua hadi UEFA Champs League while mmeendelea kuwa wasindikizaji

Moyes akikosea atalaumiwa ni kawaida hata nyie mlikuwa mnamzomea Mr Bean "You dont know what you are doing"

Huyo Frimpong anajua kunyoa kiduku hajui soka,Jones tayari ana medali ya ubingwa i hope unakumbuka jinsi alivyomficha Ozil OT
 
Maneno ya mata
"I am thrilled to be joining United. I have enjoyed some very happy years at Chelsea but the time has come for a new challenge. United is the perfect place for me and I am excited at the chance I have to be part of the next phase in the club's history.-"Chelsea is a top club and I have many friends there but you cannot turn down the chance to join Manchester United. I look forward to helping the manager and the team be successful in the coming years.
"Today is a very happy day for me, I'm very proud to be here. It's amazing knowing that a club like United is interested in me.“It’s a massive club.
I thought ‘wow’ when I heard of the interest. I know this is a big money deal, I’m confident that everything is going to be ok,
I will try my best, and I think everything is going to be right because the squad is very good, the manager is very good, the fans are unbelievable so we have everything to succeed."To be honest (the transfer) is a bit surprising but I have to say that I’m really grateful to Chelsea, the owner, to people working at the club and the fans, they voted me the best player of the last two seasons, and I will always be grateful to them. The last six months were difficult for me, I didn’t play as much as I wanted to, I understand that football is a team sport so I respected that situation but now with this position, the chance to come to United was a great moment for me to carry on with my career and to enjoy another massive club.“David De Gea was texting me the last 5/6 days, ‘when are you coming, when are you landing, are you coming by helicopter or bike’!’ At the end I am here, I am very happy to be here with him, because he is a very good friend, he is an amazing goalkeeper and top guy and he was important for me arriving here.“Obviously a player like me, who tries to score, assist, tries to be a creative player, it will be amazing for me to play with these kind of players, Rooney, RVP, Adnan, Valencia, Chicharito, Welbeck, all of them, they are amazing, they are top level, so I will try to do the best for the team.“My best position, first of all playing! Playing, because it’s what I love, to play, and to smell the turf. But after I think I can play in the three positions behind the striker, I’ve managed to play on the left when I arrived at Chelsea, this season I play on the right, last season which probably the best season of my career I played behind the striker but it doesn’t matter as long as I play and the manager wants me to play“I would like to win the Premier League here, it’s a very special trophy for every player who plays in this country and it would be amazing, and I think at this club you can achieve it because this club is used to winning leagues and I will try my best. Obviously I’m still young and I’ve been lucky to win some trophies but I want to win lots more.“I’m looking forward to playing my first game, to score, and to be happy, to score is the best feeling you can have in this sport so I hope to score soon.”
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

Sound good and intresting. Well come J. Mata.
 
Hivi unajua sababu za Jose kumweka benchi Mata? Mchezaji aliyekuwa bora wa timu kwa miaka 2 mfululizo na kuiwezesha timu kushinda UCL na Europa, iweje aonekane hafai kwa Jose? Kutocheza chini ya Jose, hakumaanish mchezaji siyo world class joh! Mchezaji ambaye toka mwaka 2011/12 hadi leo, ni wa pili (nyuma ya Silva wa Shitty) kwa kutoa assists?

Najua inakuuma sana #JuanUnitedMata kuja United; lakini naamini ushazoea, kwani ndiyo inakuwa kawaida sasa ya United. Tulianza na mchezaji bora wa goons, RvP, sasa tumemaliza kwa mchezaji bora wa Chelsea, next adventure ni Aguero...naona hapo mtakufa kwa kihoro.....na Rooney anaelekea kupewa dili la paundi laki 3 kwa wiki.....na RvP kamwambia Mata wakutane j4 pale OT.......

Ona sasa....wapi nimesema hao uliowaandika ni world class? Wheelchair? Cleverley? Acha masihara aisee...yaani unamfananisha #JuanUnitedMata na hayo magalasa!??!

Kama inakuuma sana, basi Mata siyo world class player, happy?!

brainwashed....huwezi fananisha Wilshare na kiungo yeyote wa manure urinated kwa sasa!
 
Back
Top Bottom