Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kila siku Arsenal anapondosha points nakumbuka mechi ya Palace na Arsenal away na ile ya juzi vs Leeds.

5 points dropped kizembe tu tena kipindi ambacho tupo kwenye form nzuri.
Kwa msimu huu, ndio uwezo wetu ulipoishia.

Mimi naamini Tungekuwa na DM backup ya Casemiro na Striker.
Hizo mechi zote nafasi ya kushinda ilikuwa kubwa.
 
Arsenal ameanza kukata viuno..

Point tumezidondosha kijinga jinga kuanzia ile game ya Palace,Arsenal(ilibidi atleast tutoke na draw) na hii ya Leeds..tungefanya poa tungekuwa tunawapumulia vibaya mno.

Hopefull vijana hatatotuangusha kesho.
 
Umuhimu wa kushida mechi zote ndo huu.
Mpaka sasa top 4 naiona tayari imekamilika sioni timu inayoweza kuleta ushindani kwa timu nne za juu.

Michezo mitano ijayo inaweza kuwa ishara kubwa sana kwa Arsenal kama kweli wapo serious na kombe msimu huu.

United : Leeds, Leicester, Liverpool, Southampton, Brighton.

City : Aston Villa, Arsenal, Nottm Forrest, Bournemouth, Newcastle.

Arsenal : City, Aston Villa, Leicester, Everton, Bournemouth.
 
Kwa msimu huu, ndio uwezo wetu ulipoishia.

Mimi naamini Tungekuwa na DM backup ya Casemiro na Striker.
Hizo mechi zote nafasi ya kushinda ilikuwa kubwa.
Uwezo upo basi tu. Tukiachana na mechi zilizopita, tunapaswa kuchukua points 6 kwa Leeds na Leicester na sioni sababu ya kutuzuia. Uwezo tunao, wale jamaa pale juu inatakiwa tuende nao sambamba mpaka mwisho wa msimu kitaeleweka.
 
Msimu huu ni mrahisi sana. Just imagine tunadondosha points ila bado utofauti wetu na anayetuzidi ni chini ya points 12. Kumbuka City na Arsenal wana mechi mbili baina ya wao kwa wao.
 
Msimu ule 21/22 tulikuwa vzr pia...Kuna mechi tatu tulifanya ujinga.

Pogba disease ilitusumbua... this year we treated Cr7 behavior so we are fine
 
Uwezo upo basi tu. Tukiachana na mechi zilizopita, tunapaswa kuchukua points 6 kwa Leeds na Leicester na sioni sababu ya kutuzuia. Uwezo tunao, wale jamaa pale juu inatakiwa tuende nao sambamba mpaka mwisho wa msimu kitaeleweka.
EPL sio rahisi kihivyo.

Tuweni tuu serious, tusiwe ni ushabiki kupitiliza,.

ETH amefanya kazi kubwa.
Ila bado kufikiria ubingwa msimu huu.
Hao walioko juu, huu ni msimu wa pili wako pamoja, sisi ndio kwanza tuna miezi kadhaa.

Sisi bado tunategeneza timu, na kudrop points wakati unatengeneza timu ni vitu vya kawaida kabisa.

Kufikilia ubingwa msimu huu ni kujipa pressure isiyokuwa na sababu.
 
Kila siku Arsenal anapondosha points nakumbuka mechi ya Palace na Arsenal away na ile ya juzi vs Leeds.

5 points dropped kizembe tu tena kipindi ambacho tupo kwenye form nzuri.
Ni vile tuu man u wabovu na mancity pia ila arsenal msimu huu alkua anagombea nafac ya nne... man u tunapoteza point kizembe katika mechi muhim, nw tungekua sawa na arsenal au kumzid ila ndo ivo hatuna timu
 
EPL sio rahisi kihivyo.

Tuweni tuu serious, tusiwe ni ushabiki kupitiliza,.

ETH amefanya kazi kubwa.
Ila bado kufikiria ubingwa msimu huu.
Hao walioko juu, huu ni msimu wa pili wako pamoja, sisi ndio kwanza tuna miezi kadhaa.

Sisi bado tunategeneza timu, na kudrop points wakati unatengeneza timu ni vitu vya kawaida kabisa.

Kufikilia ubingwa msimu huu ni kujipa pressure isiyokuwa na sababu.
Mimi naamini kwa 100% hata EtH sasa hivi kila mechi anaandaa kikosi chake kugombania ubingwa.

Hata Arsenal naamini walianza msimu kwa kusema msimu huu hatupo tayari kugombania ubingwa na malengo yetu ni top 4 tu but look at them now.

Hakuna wakati sahihi wa kusema huu ndiyo muda wetu wa kufanya sasa. Nafasi kama ipo ni jambo tu la wachezaji ku-demand more from themselves.

Mimi ninachotaka tu kesho tuchukue points 3 na inayofuata 3 ila najua ku-drop points kupo tu ila wachezaji wanapaswa kujua wanaweza kufanya zaidi ya hapa.
 
EPL sio rahisi kihivyo.

Tuweni tuu serious, tusiwe ni ushabiki kupitiliza,.

ETH amefanya kazi kubwa.
Ila bado kufikiria ubingwa msimu huu.
Hao walioko juu, huu ni msimu wa pili wako pamoja, sisi ndio kwanza tuna miezi kadhaa.

Sisi bado tunategeneza timu, na kudrop points wakati unatengeneza timu ni vitu vya kawaida kabisa.

Kufikilia ubingwa msimu huu ni kujipa pressure isiyokuwa na sababu.
Kwa hiyo miezi kadhaa tuliyokuwa pamoja tulitakiwa tuwe wa 10 huko.

Ila mpaka sasa tumewaonesha kazi.

Shida ya Man Utd kwa sasa ni kukosekana na kwa key players hasa Casemiro ndo kunatofanya tusifanye vizuri.

Mechi ya Crystal Palace, Arsenal na Leeds. Angekuwepo kwenye hizo mechi tungeongea mengine.
 
Katika mechi mbili hv karibuni timu zote za juu na huyu Newcastle aliyeopo Chini yetu wame drop point ni sisi peke yetu tume gain Pont 4...
Hii inamaana league ni ngumu ila timu inajitahidi...
Hebu tuone msimamo utakavyokuwa baada ya mechi 5...
Namuona arsenal akishuka mpk nafasi ya 3
 
Back
Top Bottom