Nahisi kipindi cha pili alipopangwa amefaa zaidi maana amegusa mipira mingi na ametoa assist.Aliemuona Werghost kugusa mpira aniambie kagusa dakika ya ngapi?
Hakuna wa kufanya hivyo msimu huu.Nyie matakataka huu msimu munakatwa point 15
Hili litimu likishinda napata hasira kweli kweli nalichukia sana
Cheki tunavyopiga watu achana na hawa majibwa.Hili litimu likishinda napata hasira kweli kweli nalichukia sana
Alicheza nyuma ya RashfordNahisi kipindi cha pili alipopangwa amefaa zaidi maana amegusa mipira mingi na ametoa assist.
Napenda michezaji ya kuforce force wakati wa kugombania mipira.
Iyo game munapoteza hamuna timu nyie halaand hana maajabu tenaCheki tunavyopiga watu achana na hawa majibwa.
Hakua mchoyo sana.
Au niweke mguu mfukoni 😂😂😂😂Meza wembe mkuu.
Martinez game ya Barcelona kwanza hata hachezi..ana ban.Makocha wanakuwa na ujinga muda mwingine, unalinda mchezaji kwaajili ya mechi na Barcelona na unaishia kupoteza zote.
Mimi bado nakazia kocha inabidi anunue straika wake mwenyewe awa walipo watamuangusha maana wanataka wafunge wao tu siku wakiwa out of form tumeliwa. Tunahitaji timu icheze kwa ushirika kuanzia nyuma hadi mbele sasa leo dakika zote straika Weighorst hapewi mpira na hili ni tatizo mechi karibu zote.Hakua mchoyo sana.
Mnaombeza Weigehorst jua mawinga wenyewe hawampi mpira.
Yeye akipata mpira anatoa pasi.
Michezaji ya kuforce kufunga na uchoyo naichukia.
Gemu za ushindi ndio wanatuangusha
Bado ana papara nyingi..Nawaambiaga watu humu Garnacho ni machine nyie endeleeni kumbeza.