Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Malacia wale vijanq hawawezi, atakuwa anateleza lakini hawafikii. Dalot na Malacia hawana uwezo wa kukaba.

Ningependa tumwamini Fred na Sabtzer pale kati. Shaw abaki sehemu yake, Bisaka arejeshwe sehemu yake. Sacho arudi kwa Garnacho.

Mechi ya juzi weak point ilikuwa Dalot na siyo Fred
 
Kweli tunaitajika kusajili sub sioni wachezaji wakubadirisha matokeo kabisa.
1676207195522.jpg
 
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Leeds XI: Meslier, Ayling, Koch, Wöber, Firpo, Gnonto, Harrison, Summerville, Adams, McKennie, Bamford

󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Man Utd XI: de Gea, Diogo Dalot, Malacia, Shaw, Maguire, Bruno Fernandes, Rashford, Sabitzer, Fred, Sancho, Weghorst
 
Naona Eth kawarotate licha na varane,, ,,, !

Kikosi sio kibaya kiivo,,,, wout asingekaa pale mbele,,, ! Ni Kama tunacheza pungufu vile ,,,,

Kafanya vzr kumuanzisha Sancho !

Le capitaiiin apambane aonyeshe anahitaji namba yake !
 
Malacia wale vijanq hawawezi, atakuwa anateleza lakini hawafikii. Dalot na Malacia hawana uwezo wa kukaba.

Ningependa tumwamini Fred na Sabtzer pale kati. Shaw abaki sehemu yake, Bisaka arejeshwe sehemu yake. Sacho arudi kwa Garnacho.

Mechi ya juzi weak point ilikuwa Dalot na siyo Fred
Sure..una akili sana. Kwa kiwango cha Bissaka Dalot alitakiwa aozee benchi.
 
Back
Top Bottom