Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Pumbaf eti title contender
Ameumia lini tena ?Wan bissaka ameumia



Tayari kaonyesha goli limepitia kwakeNafasi ya dalot kuonesha alichonacho
wasawazishe kwa Mpira gani wahuni hawa,cha Nguruwe hiko,kimoja tu watoto kama woteNajua mtasawazisha na kuongeza ila angalau mmeishi kwa preaha kidogo




Kama unaangalia mpira hata roho yako inasuhuzika uwanja ulivyoinama ni suala la muda tu leeds kupakuliwaMANYUMBU YAMELOWA![]()
Imenikera sana. Sasa mvua imeishaMvua kidogo tu dstv ishastack aiseee