Kumbe hili jukwaa la Leeds? hongera sana kiongozi yani unaanza ligi mechi ya 22 [emoji38][emoji38][emoji38]Kocha mpya mambo mapya ushindi mpya
Ndyo tunaanza ligi Leo
Kila la kheri Leeds united [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hakufukuzwa aliresign.. alishindwaSijamaliza kusoma comment yako pale ulipoonyesha kudharau maoni ya mtu wa manzese na kuabudu maoni ya mtu wa ulaya kisa ni mzungu. Wala simdharau Scholes namuheshimu sana mchango waje akiwa mchezaji pale utd ila sio kila anachosema yeye yupo sahihi.
Hivi unajua kuwa huyo unayemuita mtaalanu alishawahi pewa timu kule daraja la kwanza inaitwa Ordham kama sikosei na akafurushwa ndani ya miezi miwili. Unakumbuka pia Gary Nevil naye alipewa timu huko Spain yakamshinda.
Antony ni mchezaji mzuri tena sana tu, wewe mtizame alipokuwa Ajax. Na hata alipotua OT alicheza vyema mechi za kwanza hivyo ni swala la muda tu kurudi kwenye peak yake.
Arsenal hamfungi Brentford anaweza kufungwa yeye 3... kazi ni kwetu kumfunga leeds mechi zote na wiki ijayo headlines zinaenda kibadilika[emoji28]Zile hesabu zetu za ubingwa bado zinawezekana? [emoji1]
We jamaa haujawahi kua na akili hata siku moja.Kocha mpya mambo mapya ushindi mpya
Ndyo tunaanza ligi Leo
Kila la kheri Leeds united [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mganga kutoka wapi?Katika hizi games mbili na Leeds lazima mdondoshe alama
[emoji1][emoji1][emoji1]Mganga kutoka wapi?
Maana me natafuta sana waganga wakunirahisishia kupiga jiwe (Ruby).
Sema last match msimu uliopita maana msimu huu hamjacheza nao hata Mechi Moja,leo ni ya kwanza na marudiano ni Jumapili,leo mtashinda,lakini marudiano kwao patachimbika,weka na msimamo tuone nani yupo kileleniManchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16]
Prediction
Manchester United 3 vs Leeds United 1
Time
5.00 usiku
Stadium
Old Trafford
Last match
Leeds United 2 vs Manchester United 4
Red Rose vs White Rose
Man United vs Leeds United
GGMU[emoji83][emoji83]View attachment 2510236