Eng Inc
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 631
- 946
Mganga kutoka wapi?
Maana me natafuta sana waganga wakunirahisishia kupiga jiwe (Ruby).



Mganga kutoka wapi?
Maana me natafuta sana waganga wakunirahisishia kupiga jiwe (Ruby).






Sema last match msimu uliopita maana msimu huu hamjacheza nao hata Mechi Moja,leo ni ya kwanza na marudiano ni Jumapili,leo mtashinda,lakini marudiano kwao patachimbika,weka na msimamo tuone nani yupo kileleniManchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Manchester United 3 vs Leeds United 1
Time
5.00 usiku
Stadium
Old Trafford
Last match
Leeds United 2 vs Manchester United 4
Red Rose vs White Rose
Man United vs Leeds United
GGMUView attachment 2510236








Ndio ndioArsenal hamfungi Brentford anaweza kufungwa yeye 3... kazi ni kwetu kumfunga leeds mechi zote na wiki ijayo headlines zinaenda kibadilika![]()

Nipo chato hapaMganga kutoka wapi?
Maana me natafuta sana waganga wakunirahisishia kupiga jiwe (Ruby).
Fans wa arsenal Sijui kwanini akili zenu uwa hampendi kuzitumia aise.Sema last match msimu uliopita maana msimu huu hamjacheza nao hata Mechi Moja,leo ni ya kwanza na marudiano ni Jumapili,leo mtashinda,lakini marudiano kwao patachimbika,weka na msimamo tuone nani yupo kileleni
kama ambavyo nyie mnavyotumia makalio kufikiri badala ya kichwaFans wa arsenal Sijui kwanini akili zenu uwa hampendi kuzitumia aise.
Hamna mchezaji hapo, jina lake tu linajielezaManchester United and Liverpool have shown an interest in Randal Kolo Muani, but not at Eintracht Frankfurt's €100 million price-tag.
[lequipe]
#TrustTheProcessETH
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2510414