Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,308
- 46,799
Hahahaha..Dusan Vlahovic hawezi kuwa chaguo sahihi EPL, he is too nice
Too nice kwamba??
Hahahaha..Dusan Vlahovic hawezi kuwa chaguo sahihi EPL, he is too nice
Huyu Martial anaumia akiwa wapi maana ana muda mrefu hachezi au tumepata Phil Jones mwingine ?Erik ten Hag confirms Antony, Anthony Martial and Scott McTominay will all miss the Leeds United game through injury.#mufc
#TrustTheProcessETH
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2509543
Nazani kwenye zoezi, ila mimi nahisi ni muda muafaka wa huyu jamaa kutuachia timu yetu aende zake.Huyu Martial anaumia akiwa wapi maana ana muda mrefu hachezi au tumepata Phil Jones mwingine ?
Martial ni wa kuuzwa aisee..kila siku pancha..na akipona anacheza kama anaNazani kwenye zoezi, ila mimi nahisi ni muda muafaka wa huyu jamaa kutuachia timu yetu aende zake.
Mazoezini anaenda kufanya nini wakati yuko injured tangu October huko?Nazani kwenye zoezi, ila mimi nahisi ni muda muafaka wa huyu jamaa kutuachia timu yetu aende zake.
Jamaa career yake kama inamalizika akiwa mdogo sana tena kwa aibu.Martial ni wa kuuzwa aisee..kila siku pancha..na akipona anacheza kama ana
usingizi.
Baada ya ile Pre-season nilidhani huu utakuwa msimu wake bora kabisa..kumbe nilikuwa najidanganya.Jamaa career yake kama inamalizika akiwa mdogo sana tena kwa aibu.
mbona alipona wakarejea na sancho siku ya mrudiano na Nottingham aliingia kama sub na akasababisha Goli alilofunga Rashford.Mazoezini anaenda kufanya nini wakati yuko injured tangu October huko?
Jamaa huwa kama anacheza na akili zetu Pia nakumbuka kuna kipindi cha OGS walimsema sana wachambuzi kuwa hajitumi anaingia kwenye mechi anatoka Pensi na Rumba lake safi, baada ya hayo maneno alipotoka majeruhi akakiwasha sana nazani nikipindi kile kanyoa upaa mpaka tukasema si ndio martial huyu atatuokoa na msimu ujao kumbe ...... ila inafaa aende tu.Martial ni wa kuuzwa aisee..kila siku pancha..na akipona anacheza kama ana
usingizi.
Safi, ila Tominay apone tu mapema.Erik ten Hag confirms Antony, Anthony Martial and Scott McTominay will all miss the Leeds United game through injury.#mufc
#TrustTheProcessETH
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2509543
Sio mdogo kiumri labda kimpira kwa sasa ana miaka 27. Umri wa mchezaji kucheza ktk peak ni miaka 21 mpaka 29.Jamaa career yake kama inamalizika akiwa mdogo sana tena kwa aibu.