City hawajawahi kufanya vizuri misimu mitatu mfululizo EPL, hizo sababu zingine sidhani kama zina ukweli.May be kwa Chelsea
Liva imeoza,,,, pale mchezaji naemuona kiwango vile vile Ni kipa wao tu !!
City sijui wamekumbwa na Nini, wachezaji hawana morali ya kupambana ,,,, Kuna tetesi kocha amepoteza dressing room ! Seniors kama kina Kyle, kdb, gundo na cancelo unaambiwa hawana maelewano vzr na pep !
Ndo chanzo Cha cancelo kuondoka pia ,,,, ! Mechi na Spurs unamuacha kdb na gundo kweli ? City ukiwabana vzr viuongo wao haaland akikosa malisho Hana madhara !!!! Arsenal wakikaza Wana nafasi ya kumfunga Tena asubuhi tu!
Utd kuwaza ubingwa Ni too much expectation,, tupambanie top 4 ili tuwe na uhakika wa kushiriki UEFA
City hawana tatizo lolote wanazidiwa kimbinu tu na timu zingine.May be kwa Chelsea
Liva imeoza,,,, pale mchezaji naemuona kiwango vile vile Ni kipa wao tu !!
City sijui wamekumbwa na Nini, wachezaji hawana morali ya kupambana ,,,, Kuna tetesi kocha amepoteza dressing room ! Seniors kama kina Kyle, kdb, gundo na cancelo unaambiwa hawana maelewano vzr na pep !
Ndo chanzo Cha cancelo kuondoka pia ,,,, ! Mechi na Spurs unamuacha kdb na gundo kweli ? City ukiwabana vzr viuongo wao haaland akikosa malisho Hana madhara !!!! Arsenal wakikaza Wana nafasi ya kumfunga Tena asubuhi tu!
Utd kuwaza ubingwa Ni too much expectation,, tupambanie top 4 ili tuwe na uhakika wa kushiriki UEFA
Arsenal wanavyocheza hawawezi kumfunga Man city kirahisi hivyo.May be kwa Chelsea

Maandishi yako tu yanajidhirihisha ulivyo mjinga.Hivi nyie mpira mnaangalia kweli au hua mnasimuliwa na Ramadhani Simbaulanga?View attachment 2508179
Wavuliwe kwanza ubingwa wa 2011/12 na 2017/18 ndiyo hatua nyingine iendelee.Manchester City charged by Premier Leaue with numerous breaches of financial rules following a four-year investigation. @martynziegler [emoji383]
Hivi Man City wanaweza kupokwa points?
At least ndiye anaeonekana walau ana ahueni ! Kina Trent, fabinho , mo, Gakpo, Nunez, Thiago, vvd(before injury) Nani alikuwa na kiwango Bora ? Mpira Ni mchezo wa wazi kila mtu anaona !Wewe ndo unasimuliwa sasa huangalii Mimi nimeangalia sana game za Liva misimu iliopita na huu tuliopo kwakweli kusema Alison yupo kwenye kiwango ni kunajisi wanamichezo na wapenzi wa mpira....Kuanzia World cup alivuruga sana na sasa magoli anayofungwa mengne wala sio makosa ya beki lakini pia LUIS DIAZ ni mchezaji alieishape sana liva bahati mbaya injury znamwandama ila DIAZ alisaidia sanaa
City bado ana timu nzuri competitive, sema tu Kuna situation wanapitia ,,,, achana na kufungwa, game anazoshinda pia ana-struggle , wacha tuone pengine watakaa sawaCity hawajawahi kufanya vizuri misimu mitatu mfululizo EPL, hizo sababu zingine sidhani kama zina ukweli.
Bado wanamwacha Phil Jones? Kenge maji kweli[emoji599] Erik Ten Hag is planning a summer clear-out at Manchester United to raise funds for new signings:
[emoji777] Harry Maguire
[emoji777] Scott McTominay
[emoji777] Anthony Martial
[emoji777] Donny van de Beek
[emoji777] Eric Bailly
[emoji777] Alex Telles
(Source: Steve Bates)
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2506531
Kipindi cha Ole alivyoshika nafasi ya piliWavuliwe kwanza ubingwa wa 2011/12 na 2017/18 ndiyo hatua nyingine iendelee.
CryMaandishi yako tu yanajidhirihisha ulivyo mjinga.
Ndugu mganga kwenye ubora wakoManchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16][emoji16]
Prediction
Manchester United 2 vs crystal palace 1
Time
12:00 jioni
Stadium
Old Trafford
Last match
Crystal palace 1 vs Manchester United 1
GGMU[emoji83][emoji83][emoji83]View attachment 2505874
Oooh Martinez ni andunje hawezi kukaa beki yule pale tumepigwa atachomesha sana yule kama Maguire.Point tatu za damu na machoz !!!!!
Dah, baada ya red card game plan ilivurugika
[emoji36]Tulipigwa msako haswa,,, kidogo baada ya Marcel kuingia walau kukawa na ahuen !
Martinez nadhan Ajax wanatudai chenchi,,,,, hizi ndo damu za south America, kazi tu hakuna kuremba
Uchunguzi wa makosa 100 umeishia 2018Kipindi cha Ole alivyoshika nafasi ya pili
Koulibaly aliwekwa sokoni kwa 100m huku akiwa maji ya jioni kabisa..Maboss wa Napoli makauzu kinomaKama Anthony , Mudryk na Enzo wameuzwa 100+ Osimhen wa Napoli hawezi kuuzwa chini ya 150 unless humjui boss wa Napoli.
Koulibaly mwenyewe alimweka sokoni kwa dau la 100 sembuse Osimhen