D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
Inaonekana Erik anampenda sana cause press conference zake nyingi anapo muongelea martial anaonekana kuwa ni mchezaji aliye katika mipango yake.Nitashangaa sana akiongezewa mkataba
Labda ziwe mind games
Let's wait